Ushahidi kuwa Elimu yetu haitoshi: Angalia Wabunge na Polisi

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,271
12,568
Wabunge na polisi wanapinga kila kitu Cha wapinzani na kuunga mkono kila kitu Cha Serikali. Inawezekana kweli wapinzani wana kasoro zao, lakini wanasaidia nchi kwenye checks and balances hasa kwa vitu vinavyokwenda umiza hata mama zao vijijini.

Tanzania hakuna kitu kizuri kuliko wengine zaidi ya utulivu kwa watu wetu. Tumewekeza zaidi kuhakikisha kuwa nchi Ina utulivu bila kujali kuwa watu wana Amani au la.

Polisi atamkong'ota mtu anaesema tunataka katiba mpya na kumuacha mtu aliyekula fedha za kupeleka maji kwa mama zao vijijini.

Mbunge anasahau kuwa ana mama, shangazi, binamu na wapwa ambao hawatanufaika na fedha za ubunge wake bali sera zitakazomsaidia kuwapatia mahitaji yao wao mwenyewe kwa nguvu na juhudi zao.

Ona sasa tunapoenda sheli kujaza mafuta hakuna tofauti Kati ya aliyeimba hiyenahiyena na peooooples, watoto wa polisi wanasoma pia shule hizihizi. Kila mtu analinda ajira isiyotoa majibu kwake, familia na ndugu zake vijijini.

Mpaka siku kila mtu atakapojitambua itakuwa too late. Tutakuwa tumeachwa nyuma na mataifa yote kwenye kila kitu na kila Jambo.
 
Wabunge na polisi wanapinga kila kitu Cha wapinzani na kuunga mkono kila kitu Cha serikali. Inawezekana kweli wapinzani wana kasoro zao lakini wanasaidia nchi kwenye checks and balances hasa kwa vitu vinavyokwenda umiza hata mama zao vijijini.

Tanzania hakuna kitu kizuri kuliko wengine zaidi ya utulivu kwa watu wetu. Tumewekeza zaidi kuhakikisha kuwa nchi Ina utulivu bila kujali kuwa watu wana Amani au la.

Polisi atamkong'ota mtu anaesema tunataka katiba mpya na kumuacha mtu aliyekula fedha za kupeleka maji kwa mama zao vijijini. Mbunge anasahau kuwa ana mama, shangazi, binamu na wapwa ambae hawatanufaika na fedha za ubunge wake bali sera zitakazomsaidia kupatia mahitaji yake yeye mwenyewe.

Ona sasa tunapoenda sheli kujaza mafuta hakuna tofauti Kati ya aliyeimba hiyenahiyena na peooooples, watoto wa polisi wanasoma pia shule hizihizi. Kila mtu analinda ajira isiyotoa majibu kwake, familia na ndugu zake vijijini.

Mpaka siku kila mtu atakapojitambua itakuwa too late.
Hakuna watu wa ovyo nchi hii kama wanaojiita wasomi. Mwenye Elimu ya PhD kuendelea ni Mbusi kuliko Mee unaowafahamu. Ni bora Elimu kubwa nchini ingeishia Masters degree.
 
Hii sababu ni za mtu aliyekata tamaa kufikiri,kudhani kila polisi hakusoma,na kila upuuzi unaofanywa na polisi ni sababu ya elimu yao ndogo.

Mbona mbowe hakwenda shule kiivyo ila anaswaga mbuzi kibao na elimu zao!!!
Kilicho dhahiri, hakuna super intellingent aliyepo ndani ya Polisi. Wengi wa Polisi ni very low IQ. Kazi hii ni muhimu, ilihitaji watu wenye akili, weledi na upeo mpana, sisi tunawapa tunaowaona kuwa wana akili ndogo. Madhara yake ni makubwa.
 
Wabunge na polisi wanapinga kila kitu Cha wapinzani na kuunga mkono kila kitu Cha Serikali. Inawezekana kweli wapinzani wana kasoro zao lakini wanasaidia nchi kwenye checks and balances hasa kwa vitu vinavyokwenda umiza hata mama zao vijijini.

Tanzania hakuna kitu kizuri kuliko wengine zaidi ya utulivu kwa watu wetu. Tumewekeza zaidi kuhakikisha kuwa nchi Ina utulivu bila kujali kuwa watu wana Amani au la.

Polisi atamkong'ota mtu anaesema tunataka katiba mpya na kumuacha mtu aliyekula fedha za kupeleka maji kwa mama zao vijijini.

Mbunge anasahau kuwa ana mama, shangazi, binamu na wapwa ambae hawatanufaika na fedha za ubunge wake bali sera zitakazomsaidia kupatia mahitaji yake yeye mwenyewe.

Ona sasa tunapoenda sheli kujaza mafuta hakuna tofauti Kati ya aliyeimba hiyenahiyena na peooooples, watoto wa polisi wanasoma pia shule hizihizi. Kila mtu analinda ajira isiyotoa majibu kwake, familia na ndugu zake vijijini.

Mpaka siku kila mtu atakapojitambua itakuwa too late.
Hayo makundi mawili unatakiwa uwe unajua kusoma na kuandika pekee
 
Hii sababu ni za mtu aliyekata tamaa kufikiri,kudhani kila polisi hakusoma,na kila upuuzi unaofanywa na polisi ni sababu ya elimu yao ndogo.

Mbona mbowe hakwenda shule kiivyo ila anaswaga mbuzi kibao na elimu zao!!!
Elimu mwisho ni form vi, huko kwingine kote ni mbwembwe zako wwe!!
 
Back
Top Bottom