Sijasikia nguli yoyote wa Sheria akijinasibu kumnasua Mbowe. CHADEMA sio kama NCCR ya akina Marando

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi.

Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba wanalalamikia kukamatwa kwake lakini hawajasema kama watamchomoa,means wamekubali yaishe.

Enzi zile za akina Marando jinsi walivyokuwa wanajua mapambano, mwamba angeliweza kuchomolewa.

My take: Chadema yetu ipo hoi taabani, haina wasomi kama Nccr ya akina Marando.
 
Wamchomoe aende wapi wakati ameshachomekwa?
Mbowe kila mda kwani hakuna watuhumiwa wengine
 
Sema na wauza ubongo geti la kijani wapo imara,kwani wamebakia na fuvu tupu.
 
Nakubaliana na na wanaosema Mbowe ndiye alikutoa usichana wako ndiyo maana huishi kumtajataja.
 
Si nilisikia mawakili 750 wamejitokeza!!!

Kutetea kesi ya kubambikiza yaani
 
Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi.

Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba wanalalamikia kukamatwa kwake lakini hawajasema kama watamchomoa,means wamekubali yaishe.

Enzi zile za akina Marando jinsi walivyokuwa wanajua mapambano, mwamba angeliweza kuchomolewa.

My take: Chadema yetu ipo hoi taabani, haina wasomi kama Nccr ya akina Marando.
Endelea kulala kwa dada ako
 
Back
Top Bottom