John Heche: Kuweni Makini Polisi wanapokuja Nyumbani kwenu

Mlisema Mwendaza

Mlisema Mwendazake aliwanyima raha, sasahivi mnaishi kwa Raha mtaani,amkamatwi tena, dhalimu kafa Sasa Mambo safi, mpaka ela mtaani bwelele 😄😀😀😁 Chadema siwaonei huruma hata kidogo, mlitukana sana Magufuri, Mungu kawalipa kwa matusi yenu.
Wewe mwenyewe hujionei huruma? Kilangila.
 
Mlisema Mwendaza

Mlisema Mwendazake aliwanyima raha, sasahivi mnaishi kwa Raha mtaani,amkamatwi tena, dhalimu kafa Sasa Mambo safi, mpaka ela mtaani bwelele 😄😀😀😁 Chadema siwaonei huruma hata kidogo, mlitukana sana Magufuri, Mungu kawalipa kwa matusi yenu.
Huwezi kuwaonea huruma chadema kwasabb hata wewe huna raha.
 
Kamanda Siro na jeshi lake ndiyo wanafanya kazi ya itikadi na uenezi wa CCM.

Shaka A. Shaka anafanya kazi ya kuwabagaza na kuwajibu wale wote wanaotofautiana kimtazamo na Maushungi.

Maushungi ni nani ?
 
Kwa Nini tufanyiane mabaya wakati dunia sio yetu?maana mwisho wa siku tunakufa tunaiacha
 
Kamanda Siro na jeshi lake ndiyo wanafanya kazi ya itikadi na uenezi wa CCM.

Shaka A. Shaka anafanya kazi ya kuwabagaza na kuwajibu wale wote wanaotofautiana kimtazamo na Maushungi.
CCM kama chama cha siasa ilishajifia siku nyingi sasa hivi CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Maushungi ni nani ?
.
IMG_20201018_091547.jpg
 
CCM kama chama cha siasa ilishajifia siku nyingi sasa hivi CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
hata ungekuwa wewe, Ni ujinga kuacha kutumia Dola. Siasa Ni kwa ajili ya kuwadhoofisha wapinzan wako. Hii ndo maana nzima ya siasa
 
Mbowe na wenzake Jinsi walivyomtetea Lowassa. Maana yake hata wao wangekuwa watawala wangetetea Mafisadi wao na kuwasafisha, wangetumia hata Dola kufunika ukweli.
Wameshaprove hivyo
 
Back
Top Bottom