Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.