Serikali inahitaji kujitangaza kuwa imefirisika tuelewe Moja

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,395
9,775
List ya Kodi anazolipa raia Mnyonge:-
Pay as you earn
Vat 18% kwa kila bidhaa
4% Tax on services - Ufundi n.k
Ewura kwenye manunuzi ya umeme na Mafuta
Tanroad kwenye Mafuta wanachukulia humo humo
Rail Levy unapoagiza kitu kupitia bandari
Takataka za Majumbani low density area elfu 20 wenye viofisi town area elfu 50
Maegesho ya gari 500 kwa lisaa afu hadi saa kumi na mbili kudadeki na kuna vat huko pia
Maji kodi
Chakula Kodi
malazi kodi
Ukituma pesa kwa njia ya simu kodi
Ukitoa pesa kwa njia ya simu kodi
Ukiweka pesa bank kodi
Ukitoa pesa bank kodi
public Transport nayo kodi
ukitaka fungua biashara kodi
Serikali inanunau magri ya mamilion mia4 inanunua ving'ora ili wakipita wapishwe
wao wanafanya kazi mwisho saa tisa wana raha sana
bidhaa bei zinapanda kila siku hivi hatustahili kuishi au sometimes unaweza sema wakolini weupe ni bora kuliko haya yanakusanya yote hayo alafu ukitizama nchi chafu hovyo uonevu
Tanzania sijui tuna lakujivunia ni nini tokea uhuru ukilinganisha na nchi zingine tulizopata nazo uhuru miaka ya kukaribiana au tuna laana

Nadhani kuna jopo lipo chimbo kubuni vyanzo vya fedha kutoka kwa raia linajiandaa maana inaonesha Serikali haina pesa za maendeleo maana zote imepeleka kwenye bajeti ya Kasimu

Jitangazieni mmefilisika tuwachangia yaishe maisha ya manung'uniko yaishe...

Kugrab madaraka na uwezo hamna matokeo yake ni kuonea raia

Bado tunawiata wawekezaji waje aisee
 
Kama bajeti ya maendeleo inaendeshwa na tozo, bila shaka ni muda mwafaka kwa watumishi kulipana per diem kwenye zile za bajeti ya mwaka maana zinakuwa hazina jam kubwa, na pia kuweka nyongeza ya mshahara na madaraja, bila kusahau ajira mpya za vijana........alisikika mchuuzi wa matikiti kutoka kule malinyi.
 
Hizo ni kashfa, ila umeshalipa kodi kwa kuikashifu serikali🤣👇
 
Noma Sana hii,kwa Nini wasipunguze ma salary ya wabunge? Marc,madc,mawaziri na wengine wanaokula mshahara mkubwa?
 
Back
Top Bottom