Gwajima Vs Gwajima ni planned issue?

Gwajima Vs Gwajima ni planned issue?

Jeremiah Stephin

Senior Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
129
Reaction score
169
[emoji117] Huenda kinacho endelea kati ya mbunge josephat gwajima na waziri wa afya doroth gwajima kiko planned ili kuzima mijadala ya kuhusu tozo ambazo zinaonekana kuwaumiza wananchi..maana kama rais na mwenyekiti wa CCM anahamasisha chanjo gwajima ambaye ni mbunge tu hiyo nguvu ya kumpinga mwenyekiti wake anaitoa wapi?jibu kaa nalo
[emoji117]Kama kinacho endelea kati ya gwaji boy na gwaji girl hakichapangwa basi ni udhaifu kwa mamlaka za juu kushindwa kuchukua hatua za kuwaonya mapema maana wana haribu reputation ya serikali yote kuanzia bunge hadi serikali kuu..
[emoji117]Wananchi wana changamoto nyingi mno na matatizo kibao hawana pa ku ya semea ila sasa wao kama viongozi wamejikita kujadili personal life zao mara ooh "alikamatwa na mrembo",huyu nae anasema "nitamuumbua kwanini alikuwa ana achika" [emoji706] kabisa
[emoji117]Kingine pia gwaji boy sadaka zimeongezeka maana waumini siku hizi wanajaa mno kusikia mchungaji atasema nini kuhusu chanjo na gwaji girl..na hii mbinu gwajiboy huwa anaitumia sana kujipatia umaarufu maana alianzaga na Pengo,makonda na sasa ni Gwaji girl..
 
I don't think so!! Nadhani tatizo liko hapa; Nyumba ni BABA!! Akiondoka ghafla, ni mara chache sana kuona MAMA anahimili mikiki mikiki ya kusimamia nidhamu ya watoto, hasa wale watukutu na manunda kwa 100%
 
Kwa akili za kiintelijensia naweza kukuunga mkono kwa asilimia nyingi sana ni wazi wanajua wanachokifanya
 
Kwa akili za kiintelijensia naweza kukuunga mkono kwa asilimia nyingi sana ni wazi wanajua wanachokifanya
Alafu kila kesi ya mbowe ikiitwa mahakamani lazima tukio jipya liwepo,kesho Mbowe anasomewa mashtaka mahakamani na gwajima anaitwa bungeni-Ni ushenzi mtupu
 
Alafu kila kesi ya mbowe ikiitwa mahakamani lazima tukio jipya liwepo,kesho Mbowe anasomewa mashtaka mahakamani na gwajima anaitwa bungeni-Ni ushenzi mtupu
divide and rule
 
Gwajima anawakilisha kile inaitwa SUKUMA GANG.alikosea sana kupewa nchi na kuwapa wizara nyeti watu wasio wakwake. Hilo litamuathiri pakubwa
Na bado
 
Back
Top Bottom