Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Kazi Iendeleee. Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo. Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya Hakainde Hichilema. Akifika...
55 Reactions
344 Replies
23K Views
Salamu zake ni hizi: Natoa pole kwa Jeshi la Polisi na familia za Askari 3, na Askari 1 wa kampuni ya ulinzi ya SGA waliopoteza maisha baada ya mtu aliyekuwa na silaha kuwashambulia katika eneo...
8 Reactions
71 Replies
8K Views
Nimeshangazwa sana na uamuzi wa kumzawadia mzee Ally Mwinyi gari aina ya Mercedes lenye thamani ya mil 450. Kwani kwa umri wake huyu mzee anahitaji gari kama hilo la nini? Kama magari...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau mbali mbali wa siasa wa Ndani na nje ya nchi wamekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhakikisha kinawatafuta wanachama wake wote waliokamatwa na Polisi popote Tanzania na kurekodi...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukweli hii ni safari ya pili rais anamwagiza IGP. Binafsi huo mlundikano umetengenezwa na jeshi la polisi kwa sababu zao kutokana na kuwabambikizia watu wengi kesi na kusababisha upelelezi...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu...
10 Reactions
208 Replies
18K Views
Ninatoa mfano wa Dr Mwigulu, mbunge wetu, akiwawakilisha Mawaziri na Viongozi wote wa Serikali, hasa wale wateule wa Rais. Kila siku pakikucha Dr. Mwigulu anakuta nje gari la Ofisi limepaki...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu zangu, Wana JF wenzangu, kuna watu wamekuwa wakijiuliza kwamba inakuaje nchi kama vile Malawi, Kenya, Zambia na kwingineko wapinzani walifanikiwa kushinda chaguzi mbalimbali na...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
BINAMU HIMSELF: TUKIO LA MAUAJI SALENDER BRIDGE JANA Tukio la mauaji Salender Bridge jana Kumekuwa na hisia na hukumu nyingi kuhusiana na tukio la jana lililopoteza maisha ya watu watano...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha. Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto. Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na...
11 Reactions
70 Replies
5K Views
Bado anendelea kuwapigania Watanzania na sasa kaibuka na washauri. Msanii wa picha za katuni hapa nchini amewaibukia washauri wa Rais na kwa muonekano wa picha sijui wapi tunaelekea. Wajuzi wa...
19 Reactions
118 Replies
9K Views
Abidjan, Ivory Coast, Tarehe 26 Agost,2021. TANZANIA YANG’ARA UCHAGUZI WA MABARAZA YA UMOJA WA POSTA DUNIANI(UPU) Tanzania imefanikiwa kupeperusha vema bendera yake kwenye Mkutano Mkuu wa 27 wa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara Mhe. Anne Semamba Makinda amevutiwa na hamasa waliyonayo wakazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba niwape pole wakazi wa Dar Es Salaam, Polisi na ndugu wa Polisi waliofariki katika tukio la leo. Tukio hili la anayeshukiwa kuwa jambazi kufyatua risasi hovyo, limeshtua watu wengi. Niwape...
10 Reactions
121 Replies
11K Views
Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine. Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
RC Makalla umekuwa na matamko mengi sana ambayo mengine yamegeuka kuwa hewa. Mara kwa Mara umekuwa ukiagiza watu kuvaa barakoa ili kujikinga na corona, ni Jambo zuri. Ila mbona wewe huvai...
0 Reactions
6 Replies
958 Views
"Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mi naona huu msemo wa 'kesi za kubambikizwa' kama mama samia kauchukulia sawa na lugha za vijiweni. Ni kweli kuna kesi za kubambikiwa ila naamini polisi wenye kubambika wana uwezo wa kupika...
3 Reactions
5 Replies
944 Views
Haya ni maendeleo makubwa kwa wananchi kuanza kuelewa maana ya hatari na kuikimbia badala ya kuikimbilia. Mwaka 1998 ulipolipuliwa ubalozi wa Marekani eneo hilo hilo alilokuwa anatamba Hamza jana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Marehemu Maalim Seif Mohamed Azzan amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kisiwani Pemba. Marehemu ni miongoni mwa waasisi wa harakati za mageuzi na kuwaunganisha wazanzibari, kupigania haki na...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom