Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Bungeni.jpg
 
Polisi wa nini sasa kama sio kumpa promo huyu confused personality
 
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Wawe makini sana, Askofu Gwajima kwa sasa anaonekana kama ndiye mkombozi wa kweli wa Watanzania.
 
Leo lazima kiti kiwake moto, nchi hii, imechezewa sana inahitaji watumishi bora kama Askofu Gwajima, kuitakasa kwa upako wa ufufuo na uzima. Chonde chonde wasije kumKorimba, mtumishi wa mwenyezi Mungu Mkuu, DR. Rashid Joseph Gwajima! Microphone, kaa mbali nayo mita moja.
Mbona hakumfufua baba yake?
 
Kwa kasi ya kuitetea chanjo ( mimi nimelazimika kuchanja siyo kwa hiari yangu) nina wasiwasi na kifo cha mwenda zake aliyekua anaipinga chanjo.
 
Back
Top Bottom