Tukio la msomali linatupa picha gani juu ya ugaidi..

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
430
310
Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi.

Kama ni issue za ugaidi basi kuna somo la kujifunza ...kubwa...kumtambua fake gaidi na original gaidi.
 
Msomali

2897329_BE6A59AC-9240-49DF-BCAF-3EF88676BC92.jpeg
 
Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi.

Kama ni issue za ugaidi basi kuna somo la kujifunza ...kubwa...kumtambua fake gaidi na original gaidi.
Picha ni wazi kabisa, tuna askari ambao ni incompetent, corrupted na unprofessional wa kiwango cha lami.
 
Hii inaitwa kupigwa chenga. Unakamata huyu unapigwa na yule.
 
Picha ni wazi kabisa, tuna askari ambao ni incompetent, corrupted na unprofessional wa kiwango cha lami.
Askari incompitent unamaanisha askari wa jeshi gani? Maana hii nchi ina majeshi ya kizembe ila haitazamwi wala haipendwi na wavamizi ndo maana matukio haya ni machache, hatuna ulinzi tupo incompetent sana mawazo ya kipuuzi fulani baada ya kushiba. Chukua bunduki nenda mipakani huko utulinde tuone umahiri wako wa ulinzi Jitu flani lisilo fikiri kuhusu wanayopitia majeshi ya ulinzi na usalama mpaka wewe upo salama kutoa maoni ya kishibe shibe.
 
Askari incompitent unamaanisha askari wa jeshi gani? Hivi unafikiri hii nchi haitazamwi au haipendwi na wavamizi?
Kaka hatuna professional jeshi hata moja.
Kama jeshi letu lingekuwa na sifa kama tunavyojidanganya, majirani zetu Mozambique wangekwenda Rwanda 🇷🇼 kuazima askari wa kweli kutuliza rabsha kule.
 
Tusiongelee tena hili suala mm na wewe.
 
Back
Top Bottom