Dkt. Bashiru Ally Kakurwa nina hakika 100% anaweza kuvivaa viatu vya hayati Rais Magufuli

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,220
12,937
Niko hapa leo hii kutoa maoni yangu juu ya msiba mzito uliotupata Watanzania.

Binafsi nikiangalia chain ya Serikali ya Dkt. Magufuli, ni Bashiru Ally pekee ndiye mwenye uwezo wa kuvivaa viatu vyake na akasimamia kile ambacho Magufuli alikifanya.

Licha ya kuwa ngumu kwake kuwa Makamu wa Rais lakini Marehemu alimuacha kama katibu mkuu kiongozi, kwa nafasi aliyonayo naamini anaweza kufanya jambo na hatimae tukatoboa.

Kwako Dkt. Bashiru, mshauri Mama asicheke na Manyani tusije vuna mabua, Dkt. Bashiru msihi Mama kuwa hatutarajii kusikia hakuna fedha za ujenzi wa miradi yetu, Msihi mama kuwa hatutarajii kusikia shirika la Ndege likifa, msihi Mama hatutarajii kusikia kuna wizi na ujambazi kama miaka ile ya nyuma, hatutarijii makusanyo ya kodi kushuka zaidi ya kupanda, hatutarijii mradi wowote alioucha Mh Rais Magufuli kukwama.

Msihi Mama asicheke na Nyani, asiruhusi wamshikeshike maana hawana adabu wale watakuja kushika mpaka makalio (Ashakum si matusi).

Ni hayo tu Dkt. Bashiru naamini utayasimamia ipasavyo.

images%20(5).jpg
 
Bashiru atafanyiwa REPLACEMENT in due time. Ujio wake kwenye nafasi hiyo umehojiwa sana na wasomi na wachambuzi wa Siasa.

Huyu ni purely henchmen wa Magufuli au kwa Kiswahili kizuri (chawa). Mama Samia hawezi kufanikiwa kiutendaji akifanya kazi na kivuli cha Magufuli.

Mark my post, nitawakumbusha aking'olewa
 
Bashiru atafanyiwa REPLACEMENT in due time. Ujio wake kwenye nafasi hiyo umehojiwa sana na wasomi na wachambuzi wa Siasa.

Huyu ni purely henchmen wa Magufuli au kwa Kiswahili kizuri (chawa). Mama Samia hawezi kufanikiwa kiutendaji akifanya kazi na kivuli cha Magufuli.

Mark my post, nitawakumbusha aking'olewa
Ubarikiwe sana kwa comment mzuri na yenye mashiko.
 
GENGE LA WAHUNI naona mnaendelea KUTUMWA mje huku kutuhadaa watanzania

Watanzania ni wapendwa wa Mungu , hatuchezewi ovyo ovyo, tutasali na WAHUNI wote mtaisha. Tunasikia kuna watu wameanza kutorosha familia zao na wameshadakwa. Nakwambia mtaondoshwa wote, virusi vyote vitaondoka.
100%
 
Back
Top Bottom