Wabunge wa Tanzania wanaishi mitaa gani jamani?

Jasusi Mbobezi

Senior Member
May 17, 2020
195
1,000
Wabunge wengi huwa wanachangia kanakwamba hawana connection na mitaa ninayoishi na kutembelea mimi Jasusi Mbobezi. Mitaa wanayoishi wabunge wetu wengi Rais anakubalika sana na wananchi.

Mitaa wanayoishi wao wananchi wanaikubali sana serikali na kuunga mkono kila kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6.

Mitaa wanayoishi wananchi wana raha sana yaani, kika kitu kipo sawa hakuna manung'uniko kabisa.

Naombeni kujua hiyo mitaa namimi nije huko jamani maana huku kwetu tumeshachoshwa na hii awamu tunatamani 2025 tupate mtu.
 
DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
16,832
2,000
Mitaa wanayoishi minara yao haikati tozo ya kizalendo Kwenye miamala.

Mitaa wanayoishi sheli zote zinauza mafuta bukubuku

Mitaa wanayoishi nyumba zao zote hazikatwi too ya luku
 
Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
11,875
2,000
Wabunge wengi huwa wanachangia kanakwamba hawana connection na mitaa ninayoishi na kutembelea mimi Jasusi Mbobezi. Mitaa wanayoishi wabunge wetu wengi Rais anakubalika sana na wananchi.

Mitaa wanayoishi wao wananchi wanaikubali sana serikali na kuunga mkono kila kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6.

Mitaa wanayoishi wananchi wana raha sana yaani, kika kitu kipo sawa hakuna manung'uniko kabisa.

Naombeni kujua hiyo mitaa namimi nije huko jamani maana huku kwetu tumeshachoshwa na hii awamu tunatamani 2025 tupate mtu.
Unataka ukawaHamza?

Kwa niaba ya wanajamiiforum wote nakupa baraka zote katika mission yako.
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
4,974
2,000
Mitaa wanayomaanisha ni Akaunti zao za benki.

Akitaka wamgeuke avuruge akaunti zao uone mtiti wake...kila atakayesimama atasema Wananchi wanalalamika.
 
IQup

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
633
1,000
wangekuwa wanaishi mtaa mmoja hao wabunge mboga kuna jamaa wangerusha bomu wafe wote...kwa utumbo wanaoufanya. Wanajinasibu wapo vizuri, kila wanalofanya wanakosea wanarudi kujaribu kurekebisha. Yaani hadi mambo ya kwenye Biblia wanajinasibu wanayajua sana mwisho wanakosea nayo wanarudi kusahihisha..hiyo mizuka na midemko waliyonayo huko bungeni ni kiboko hata vijana wa form two hawako hivo siku hizi. Hadi naanza kuwaza au tayari chanjo ya covid imesambaa mwilini vizuri na imeanza taratibu kufanya kazi?...matokeo yake yameanza kuonekana mapema hivi basi ni hatarii
 
Hahahahaaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom