Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,156
4,510
Rais Samia amezungumza na Kansela Wa Ujerumani Bi Angela Merkel Leo kutokea Ikulu ya Magogoni

----
Kansela.jpg
 
Bila kusema walichozungumza na manufaa yake kwa taifa ni kudemka tu. Nini cha maana tutarajie maana tunaka kazi tu na maendeleo na sio tozo na kupanda kwa bei za bidhaa muhimu kama vile mafuta ya kupikia, ngano, vifaa vya ujenzi n.k
 
Bila shaka wamepeana elimu nzuri ya kupika urojo na kutengeneza Sandwich
We mshamba kweli. kama ungejielimisha kidogo tu, wala Merkel wala Samia wanaandaa sandwich. Samia sina habari. Merkel ni mashuhuri kwa supu yake ya viazi, pamoja na bata bukini ya Krismasi (desturi ya huko).
Halafu wewe ni mshamba ukidhani viongozi wa kike hujadili upishi wakiongea siasa. aibu yako!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel Ikulu Jijini Dar es salaam leo Sept 01,2021. PICHA NA IKULU.

1630558009646.png
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom