Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,878
Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake

Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao

Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
 
Wataalam wa maswala ya kibunge na taratibu zake hebu toeni ufafanuzi.

Kwamba Askofu akirudia kosa Waziri ataitwa kwenye kamati ahojiwe Kwa msingi upi? Kosa la Gwajima ila anaehojiwa ni waziri? Hii imekaa vipi wadau!?

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Kwa lugha nyepesi ni kwamba waziri wa mambo ya ndani anasisitizwa aviagize vyombo husika vichukue hatua kwa askofu rashidi na waziri ahakikishe hatua zinakua kali kweri-kweri ili muovu huyu asithubutu kurudia kosa husika.
 
Duh...

Hakika umejua kuilainisha kauli ya spika. Hata kiziwi amesikia.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kwa lugha nyepesi ni kwamba waziri wa mambo ya ndani anasisitizwa aviagize vyombo husika vichukue hatua kwa askofu rashidi na waziri ahakikishe hatua zinakua kali kweri-kweri ili muovu huyu asithubutu kurudia kosa husika.
Ndiyo bana CHADEMA-CCM.

Mnavyotaka vyombo vyenu vya polisi kuchukua hatua zidi ya gwajima na wengine,ikifika zamu yenu kesi za kigaidi mnaenda kulia mahakamani.

Binafsi siwezag kuwatofautisha nyinyi na fisiem
 
Spika ndungai na wajumbe wa kamati husika ni CCM tupu.

Hakuna CHADEMA kwenye hayo maamuzi yaliyofanyika kwa huyo kibwetere wenu.

Hili mtamalizana nyie mataga pori wenyewe kwa wenyewe huko Lumumba na Bungeni, msiwahamishie CHADEMA matatizo yenu.
 
Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake

Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao

Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
ktk mawaziri ambao wamekuwa wapole kupita maelezo ni Waziri wa mambo ya ndani.
Waziri amekuwa mpole sana, amekuwa mzito sana kutoa makemeo na makaripio.
kuna kauli nyingi sana zinatolewa ambazo zinaashiria uvunjifu wa amani na kauli hizo zinatolewa na baadhi ya viongozi tena wa dini!!!
Waziri wa Mambo ya ndani afahamu kuwa amebeba dhamana ya Amani na Usalama wa Wananchi wote wa Tz, hayupo hapo kuwachekea wavunjifu wa amani.
Tunamtaka Waziri wetu abadilike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake

Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao

Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Hawawez mfanya chochote CCM maana waziri wa afya alitoa maelekezo kwa plc wamushughulikie lkn wazir amepuuzwa
 
Wataalam wa maswala ya kibunge na taratibu zake hebu toeni ufafanuzi.

Kwamba Askofu akirudia kosa Waziri ataitwa kwenye kamati ahojiwe Kwa msingi upi? Kosa la Gwajima ila anaehojiwa ni waziri? Hii imekaa vipi wadau!?

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Utakuwa una upeo mdogo sana kama hujaelewa maana ya hiyo kauli ya spika .
 
Kweli tumepata subwoofer Nchi hii yaani mtu anaishi vizuri bado anakosa kuwa na akili japo kidogo kweli matatizo ya Tanzania ni kumjadili Gwajima kweli mara kesho unasikia anaitwa slaa ahojiwe kuhusu kauli za wabunge kutokatwa kodi kwa nini mnahangaika na uwongo kuwa ukweli kuwa hamlipi kodi toa vielelezo watu waone sio kuhoji wanaosema ukweli...
 
Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake

Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao

Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Gwajima & Slaa, tukutane mwaka 2022 - Job ******.
 
Back
Top Bottom