Tofauti ya wasanii wa Tanzania na Kenya au Naijeria katika kuwasemea mashabiki wao

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,189
103,708


Tazama nchi inaenda ikiwa imepoteza uelekeo kabisa. Tazama dreva ameendelea kubaki kwenye usukani wakati gari imekata sukani na shokapu. Tazama raia na upinzani wamedhurumiwa huku wasanii wetu wakiwa kimya kwamba hayawahusu.

Lakini ukimya huu umeshawishi watesi wanafikiria ukusanyaji wa kodi na tozo za ajabu ajabu kila kukicha.

Sasa imefika zamu ya kulima tozo mitandao ya kijamii. Ambayo ndio jukwaa la wasanii kumwaga sera zao. Mtabaki kujipendekeza kwa CCM kama mlivyofanya wakati wengine wananyanyaswa?

Msikilize Msaani wa vichekesho Eric Omondi akisemea mashabiki zake. Nyie wenzangu mtabaki kuimba matusi tu na kushindana followers.
 
Wasanii wetu watadanganyika kwamba watalipwa kwa tozo za redio na mitandao, kumbe watakopwa kwa kupigia kampeni watesi ccm
 
Show za wasani wao kutwa kuwambia,mashabiki
Wao piga keleleeee
Sjui nndy Festival zch..etc

Ova
 
Nakuhakikishia sio tu Musicians, yoyote akifanya Video Kama hiyo kwa Tanzania....Kitampata kilichowahi kumpata Mtema kuni....japo mpaka leo hakuna anayesema Mtema kilimpata kitu gani!
 
Aache kuilinda njia yake ya kipato abwabwaje kwa niaba yako!!!

hii tabia ya kuita watu mashujaa inaponza sana watu.
 
Humu tunae mmoja ni staa mkubwa tu tz anatumia id ya ndenjii handsam tumwite hapa atoe majibu
 
Kasoro ney wa mitego anawasemea mashabiki zake mara kwa mara hata roma anajitahidi pia lkn diamondi na alikiba utopolo kabisa.

20210901_225358.jpg
 
Back
Top Bottom