Katika mazingira haya, Askofu Gwajima anapaswa kujiuzulu na si tusubiri kuchukuliwa hatua kuthibitisha ubunge kwake sio kitu kama alivyowahi sema

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,079
2,000
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa amewahi kudai ubunge sio hadhi yake yeye kama mtumishi wa Mungu.

Kwa maneno mengine, Mtu ambae ubunge kwake ni cheo kidogo kuliko uasikofu, hapaswi kuhangaika kujitetea/kutetea ubunge wake ball anapaswa kuachia ubunge huo haraka iwezekanavyo.

Sasa akisubiri, wamuwahi , sijui atasema mini kwani kwa matamshi yake, hastahili kusubiri hata hii adhabu aliyopewa na Bunge iishe, bali anapaswa kutangaza kujiuzulu mara moja na hapo atakuwa amethibitisha kauli yake kuwa uaskofu ni cheo kikubwa kuliko ubunge na vyeo vingine vyote vya kidunia.

Kazi kwake.
 
Jmc06

JF-Expert Member
May 11, 2016
1,929
2,000
Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?

Hivi kitendo cha kuletwa chanjo milioni moja na August 3 likazinduliwa zoezi la chanjo,Leo ni September 3 mwezi mmoja baadae zimetumika chanjo laki 3 tu, katika nchi yenye watu milioni 60 huoni hata hao wabunge 95% wapo upande wa Gwajima!?.. wakati mwingine muwe mnaficha uny.umbu wenu.
 
Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
2,432
2,000
Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?...
Chanjo ni hiari.

Mh Gwajima akijiuzulu atakuwa kafanya kosa la SGR. Aache wamfukuze.

Kutokana na haya mazongemazonge ya gonjwa la corona tangu liikumbe dunia takwimu zake ni busara zikachukuliwa kwa tahadhari kubwa.
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,079
2,000
Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?.. Hivi kitendo cha kuletwa chanjo milioni moja na August 3 likazinduliwa zoezi la chanjo,Leo ni September 3 mwezi mmoja baadae zimetumika chanjo laki 3 tu, katika nchi yenye watu milioni 60 huoni hata hao wabunge 95% wapo upande wa Gwajima!?.. wakati mwingine muwe mnaficha uny.umbu wenu.
Pumba!
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
3,055
2,000
Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?....
Mkuu suala linalomkabili Gwajiboy ni kusema UONGO kwamba kuna Viongozi wa Juu Serikali wamehongwa ili kuruhusu chanjo iingie nchini. Pili chanjo walizochanjwa Viongozi Wale ni usanii mtupu. Na sababu hii ya Gwajiboy ndiyo iliyowatisha Watz kujitokeza.
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
3,055
2,000
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue...
Mkuu huyu Gwajiboy kakalia kuti kavu. Hata akiachia ngazi bado Mahakama inamsubiri. Pona yake itategemea huruma ya mwenyekiti wake wa Chama Taifa.
 
mzeewaSHY

Member
Aug 31, 2021
81
125
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri ...
Hiyo ni ngumu kumeza kwake, ni mchezo wa Sitaki- Nataka
Mkuu huyu Gwajiboy kakalia kuti kavu. Hata akiachia ngazi bado Mahakama inamsubiri. Pona yake itategemea huruma ya mwenyekiti wake wa Chama Taifa.
Huruma ya mwenyekiti maana yake ni kuwa Mwenyekiti anakubali kuwa ile chanjo yao siku ile ilikuwa kweli ni usanii ? ?? Suala la chanjo halitakiwi kufanyiwa mzaha
 
jailos mrisho

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
430
1,000
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa amewahi kudai ubunge sio hadhi yake yeye kama mtumishi wa Mungu.

Kwa maneno mengine, Mtu ambae ubunge kwake ni cheo kidogo kuliko uasikofu, hapaswi kuhangaika kujitetea/kutetea ubunge wake ball anapaswa kuachia ubunge huo haraka iwezekanavyo.

Sasa akisubiri, wamuwahi , sijui atasema mini kwani kwa matamshi yake, hastahili kusubiri hata hii adhabu aliyopewa na Bunge iishe, bali anapaswa kutangaza kujiuzulu mara moja na hapo atakuwa amethibitisha kauli yake kuwa uaskofu ni cheo kikubwa kuliko ubunge na vyeo vingine vyote vya kidunia.

Kazi kwake.
Ebu tuondolee upuuz hapa bhana..jf imekuwa na watu wapuuz puuz tu siku hzi
 
Jmc06

JF-Expert Member
May 11, 2016
1,929
2,000
Mkuu suala linalomkabili Gwajiboy ni kusema UONGO kwamba kuna Viongozi wa Juu Serikali wamehongwa ili kuruhusu chanjo iingie nchini. Pili chanjo walizochanjwa Viongozi Wale ni usanii mtupu. Na sababu hili ya Gwajiboy ndiyo iliyowatisha Watz kujitokeza.
Kawaulize watu mtaani kwako wakwambie kama Gwajima ndo kawatisha wasichanje,.., hivi hujiulizi tumeishije tangu December 2019 mpaka leo!?,hushangai pamoja na kampeni zote watu hawana muda na barakoa na hiyo Corona!?.. mwaka Jana viwanja vya mpira vilikuwa vinajaa tu bado unadhani watu wamemsikiliza Gwajima!?.. hata bila Gwajima watanzania wameungana na watu wengi tu ulimwenguni kupinga chanjo za majaribio... Kama umechanjwa shauri yako, subiri kidney failure,heart attack, infertility.. etc wakati wowote maana umeamua kuwa fala. Nakupa assignment... Tafuta daktari yoyote ulimwenguni hata aliyesoma vyuo vyetu Kama muhimbili au kairuki aliyechanjwa kama utampata. Akuhakikishie umuone sio kuzuga kama viongozi wetu siku ile. Hayupo Sababu wanajua maana ya mRNA na Spike protein. Naishia hapo.
 
Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
8,178
2,000
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa amewahi kudai ubunge sio hadhi yake yeye kama mtumishi wa Mungu.

Kwa maneno mengine, Mtu ambae ubunge kwake ni cheo kidogo kuliko uasikofu, hapaswi kuhangaika kujitetea/kutetea ubunge wake ball anapaswa kuachia ubunge huo haraka iwezekanavyo.

Sasa akisubiri, wamuwahi , sijui atasema mini kwani kwa matamshi yake, hastahili kusubiri hata hii adhabu aliyopewa na Bunge iishe, bali anapaswa kutangaza kujiuzulu mara moja na hapo atakuwa amethibitisha kauli yake kuwa uaskofu ni cheo kikubwa kuliko ubunge na vyeo vingine vyote vya kidunia.

Kazi kwake.
Gwajiboy hana tatizo
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,411
2,000
Mkuu suala linalomkabili Gwajiboy ni kusema UONGO kwamba kuna Viongozi wa Juu Serikali wamehongwa ili kuruhusu chanjo iingie nchini. Pili chanjo walizochanjwa Viongozi Wale ni usanii mtupu. Na sababu hili ya Gwajiboy ndiyo iliyowatisha Watz kujitokeza.
Niliwahi kuandika humu JF, kama hao viongozi walichanjwa chanjo halisi wapimwe kama miili yao imetengeneza kinga ili kumwumbua Gwajiboy
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,509
2,000
Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?.. Hivi kitendo cha kuletwa chanjo milioni moja na August 3 likazinduliwa zoezi la chanjo,Leo ni September 3 mwezi mmoja baadae zimetumika chanjo laki 3 tu, katika nchi yenye watu milioni 60 huoni hata hao wabunge 95% wapo upande wa Gwajima!?.. wakati mwingine muwe mnaficha uny.umbu wenu.
😂😂😂😂 Hawatumii akili.
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,294
2,000
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa amewahi kudai ubunge sio hadhi yake yeye kama mtumishi wa Mungu.

Kwa maneno mengine, Mtu ambae ubunge kwake ni cheo kidogo kuliko uasikofu, hapaswi kuhangaika kujitetea/kutetea ubunge wake ball anapaswa kuachia ubunge huo haraka iwezekanavyo.

Sasa akisubiri, wamuwahi , sijui atasema mini kwani kwa matamshi yake, hastahili kusubiri hata hii adhabu aliyopewa na Bunge iishe, bali anapaswa kutangaza kujiuzulu mara moja na hapo atakuwa amethibitisha kauli yake kuwa uaskofu ni cheo kikubwa kuliko ubunge na vyeo vingine vyote vya kidunia.
Kazi kwake.
Gwaji anajua mipango na mikakati ovu ya maccm, wakati wa mwendazake,

Inasemekana Gwaji alimtahadharisha lisu asiende dodoma atapigwa risasi,

Anayajua mengi ya watawala ambayo hatuyajui, ndo maana ana kiburi na kujiamini,
Kwa hiyo watampotezea tu Ili asije toa siri zao
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,509
2,000
Kawaulize watu mtaani kwako wakwambie kama Gwajima ndo kawatisha wasichanje,.., hivi hujiulizi tumeishije tangu December 2019 mpaka leo!?,hushangai pamoja na kampeni zote watu hawana muda na barakoa na hiyo Corona!?.. mwaka Jana viwanja vya mpira vilikuwa vinajaa tu bado unadhani watu wamemsikiliza Gwajima!?.. hata bila Gwajima watanzania wameungana na watu wengi tu ulimwenguni kupinga chanjo za majaribio... Kama umechanjwa shauri yako, subiri kidney failure,heart attack, infertility.. etc wakati wowote maana umeamua kuwa fala. Nakupa assignment... Tafuta daktari yoyote ulimwenguni hata aliyesoma vyuo vyetu Kama muhimbili au kairuki aliyechanjwa kama utampata. Akuhakikishie umuone sio kuzuga kama viongozi wetu siku ile. Hayupo Sababu wanajua maana ya mRNA na Spike protein. Naishia hapo.
Umeongea ukweli Gwajima hana issue, Mwendazake ndo alituweka huru kutoogopa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom