Katika ziara zake, Hayati Magufuli alikuwa akigawa pesa kwa ajili ya maendeleo, Sasa hivi wananchi wanakamuliwa

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.

IMG_20210905_100111.jpg
 
Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
View attachment 1924327
Kwani hizo pesa zilikuwa zinanyesha kutoka mawinguni?!!

Hayati JPM alibana matumizi kwa kufanya yafuatayo:-

✓Hakuajiri watumishi wengi wapya kwa miaka 6...
✓Hakupandisha watumishi madaraja
✓Hakuongeza mishahara watumishi wa umma
✓TRA ilikuwa na TASK FORCES za kukusanya kodi kwa "mbinu mbalimbali..."
✓Task forces za kusimamia biashara ya KOROSHO....

KAZI IENDELEE TU HAKUNA NAMNA....

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
Alikua anagawa pesa zake?

Labda ungetueleza hizo pesa alizokuwa akigawa alikua akizitoa wapi na nani alihidhinisha?

Usije na majibu ya kuwa Rais ni mtu wa mwisho! Na ndio hapa uone umuhimu wa katiba mpya.

Rais ni muajiriwa wa wananchi..he/she is accountable on every act concerning the citizens.
 
Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
View attachment 1924327
Kuna aina za wizi kuu nne duniani

1.kuibia maskini na kuwapa maskini

2.kuibia matajiri na kuwapa matajiri

3.kuibia maskini na kuwapa matajiri

4.kuibia matajiri na kuwapa maskini

Hapo kwenye matajiri na serkali imo

JPM alikuwa anaiibia matajiri na kuwapa maskini

Samia anaiibia maskini na kuwapa matajiri

USSR
 
Wizi ni wizi tu....hauna halali ukifanywa kwa njia yoyote ile.....

#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom