Hongera Dar Mpya kwa kukemea "Double standard" ya Jeshi la Polisi

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,404
85,823
Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani.

Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi.

"Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa na @tanpol ambapo jeshi hilo halijawahi kuingilia mikutano ya chama hicho ya ndani ama ya nje lakini limekuwa likizuia mikutano ya vyama vya upinzani hata ambayo imefuata taratibu zote za kisheria".

20210904_235733.jpg
20210904_235730.jpg
 
CCM imefika mwisho.

Baadhi ya haya matukio zikiwemo hizi picha, zitakuja ku-appear katika vitabu na maandiko mengine yatayokuwa yanasimulua historia ya mapambano ya kudai katiba mpya.

Watu makini watapima kama itakuwa ni historia nzuri kwa wao kuja kutajwa katika vitabu vya aina hii au hata sura zao kuchapishwa katika maandiko au vitabu vya aina hiyo.

Pia, tusishangae kuona hii Blog inaanza kuandamwa badala ya wahusika kutafakari ujumbe huu.
 
Mawazo ya aina hii ndiyo tatizo.
Jeshi la polisi kwa mujibu wa sheria na katiba halitakiwi kushiriki kwenye siasa (upendeleo kwa chama chochote).
Adui wa taifa ni wale wanaovunja sheria kwa kupendelea CCM na wala siyo chama chenyewe.
Makamanda wa polisi wanatakiwa wajue wajibu wao na uwekwe utaratibu wa kuwawajibisha wanapotenda kinyume na sheria/katiba.
 
Dar Mpya hii owner wake alikua yuki na affiliation na MATAGA ! Sijui kapatwa na nini mpaka leo ameweka ushabiki pembeni!
Dar MPYAAAA upuuzi wa CDM huo,,,, CCM wakikutana kwenye mikutano yao ya ndani wanajadili au kuzungumzia maswala yao ya kichama na CHADEMA mikutano yao yote huwa ni juu ya kuikomboa TANZANIA kwani hawa ni wendawazimu wanaotembea wakati wowote ndani ya nchi ambayo haiko huru ,,Uhuru kwao ni siku Tanzania ikikabidhi rasilimali za Tanzania zote kwa waliowatuma na kuwafadhili,,,,Ulishawahi kumsikia kiongozi yeyote wa upinzani akiongelea juu ya maji, shule umeme, miundombinu au chochote kinachowagusa wananch?? Upinzani wanataka katiba chochoro itakayowafikisha madarakani,,,Nikuibie siri moja ambayo hutaipenda ni kwamba wale 19 walio mjengoni leo ndiyo vichwa vile wengine wote ndio hao watu wa Katiba.
Kitu ambacho hamjui nyie waandishi wa kozi za mitandaoni ni kwamba huko upinzani hakuna mwanasiasa hata mmoja,, yapime matamshi yao na jaziba wakiongea,, hao ni wanaharakati na misingi yao ya kimkakati ni kupinga kila kitu na nadhani wengi wao hawawakubali hata baba zao japo mama zao waliwaambia kuwa ni baba zao,,,NAKUPA TOPIC YA KUSOMA NENDA KASOME TOFAUTI KATI YA MWANA HARAKATI NA MWANA SIASA,,,, wapinzani wote ni wana harakati hakuna mwana siasa huko ila CCM kuna siasa angalia jinsi wanavyoshughulikia maswala ya kina Silaa, Gwajima, na Polepole,,, CDM ingekuwaje?? Kasome!!!!!!
 
Anzisha Uzi wako...maelezo marefu,TAKATAKA TUPU
 
CCM imefika mwisho.

Baadhi ya haya matukio zikiwemo hizi picha, zitakuja ku-appear katika vitabu na maandiko mengine yatayokuwa yanasimulua historia ya mapambano ya kudai katiba mpya.

Watu makini watapima kama itakuwa ni historia nzuri kwa wao kuja kutajwa katika vitabu vya aina hii au hata sura zao kuchapishwa katika maandiko au vitabu vya aina hiyo.

Pia, tusishangae kuona hii Blog inaanza kuandamwa badala ya wahusika kutafakari ujumbe huu.
Vipi umeshatuma picha hizi kwa wazungu ?
 
Riwaya ndefu ! Upuuzi mtupu..

Unaweza kujibu ni siasa gani hizo unazosema CCM wanazo zaidi ya kutegemea tume dhaifu ya uchaguzi na policcm kubaki madarakani?

CCM hii iliyojaa unafiki ya dikteta kuchapisha form moja na kisha kusema kapita bila kupingwa?

CCM hii hii iliyokataa chanjo na watu kupukutika January na February kwa wingi leo hii wanarudi kusema chanjo yafaa??

CCM ipi unayoizungumzia wewe?

CCM iliyoshindwa kuhoji Trillion 1.5 zilipotelea vipi kwenye ujenzi wa uwanja wa ndege chato ukiwa ni uwekezaji usio na kichwa wala miguu
IMG_20201028_173703.jpg

Stay on your lane please!
 
Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani.

Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi.....

"Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa na @tanpol ambapo jeshi hilo halijawahi kuingilia mikutano ya chama hicho ya ndani ama ya nje lakini limekuwa likizuia mikutano ya vyama vya upinzani hata ambayo imefuata taratibu zote za kisheria"
View attachment 1924042View attachment 1924043
Aliwatuma Alliy Happi
 
CCM imefika mwisho.

Baadhi ya haya matukio zikiwemo hizi picha, zitakuja ku-appear katika vitabu na maandiko mengine yatayokuwa yanasimulua historia ya mapambano ya kudai katiba mpya.

Watu makini watapima kama itakuwa ni historia nzuri kwa wao kuja kutajwa katika vitabu vya aina hii au hata sura zao kuchapishwa katika maandiko au vitabu vya aina hiyo.

Pia, tusishangae kuona hii Blog inaanza kuandamwa badala ya wahusika kutafakari ujumbe huu.

mapigano yenu yatakumbukwa kama kituko, kugombani demokrasia ukiwa na mwenyekiti wa milele anaetisha watu wakitaka kugombea hio nafasi. what kind of history is this ama unamaanisha kupigana na ccm na mwishowe kuchukua mgombea kwao?
 
Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani.

Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi.....

"Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa na @tanpol ambapo jeshi hilo halijawahi kuingilia mikutano ya chama hicho ya ndani ama ya nje lakini limekuwa likizuia mikutano ya vyama vya upinzani hata ambayo imefuata taratibu zote za kisheria"
View attachment 1924042View attachment 1924043
Ilaaniwe CCM na Polisi yake, walaanike milele
 
Back
Top Bottom