Je, Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati kimya kimya?

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.

Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!

Au ameshakula uteuzi kimya kimya?

20201118_183118.jpg
 
Huyo jamaa namkubali sana
Anastahili kurudi kwani ametutoa mbali.

Kumbuka ule mgao wa umeme kabla yake, mwingi ulikuwa hata haueleweki. Siku hizi ukiwapigia hata emergence wana pokea na kufuatilia. Mambo yamebadiliaka kwa kweli. BIG UP!
 
Acha CCM wapelekwe pelekwe na baadhi ya watu wasivyokuwa na aibu watakuja kutetea uvunjaji wa wazi wa katiba. Wizara zote zinatakiwa chini YA makatibu wakuu, ukiondoa mbili ambazo zina mawaziri ...lakini madodoki wataona hii ni sawa tu kwa sababu tu kalemani ni mtoto wa dada yake na Magufuli.

Dharau za katiba na taratibu za namna hii hata kwenye nchi za kifalme haiwezekani, it's only possible with arrogant dictators
 
Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.

Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!

Au ameshakula uteuzi kimya kimya?

View attachment 1629378
Alitambulishwaje wakati wa ufunguzi wa shughuli?
 
Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.

Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!

Au ameshakula uteuzi kimya kimya?

View attachment 1629378
PM hawezi kwenda bila hata kusindikizwa na mbunge.By the way mkeka uko tayari,bado tuu kuutoa hadharani
 
Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.

Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!

Au ameshakula uteuzi kimya kimya?

View attachment 1629378
Ametambulishwaje?
 
Kalemani ni ndugu yake na kumbuka ndiye aliyerithi Jimbo la Uchaguzi la Chato toka kwa Jiwe; lazima ameishamueleza kuwa ataendelea kuwa Waziri wa nishati!!
 
Back
Top Bottom