troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,427
- 2,262
Nahisi serikali imeona kitanzi cha gharama za chanjo ilichoingia pupa,
Ifahamike kwa nchi ya Tanzania madhara ya uviko-19 si makubwa kulingania na wenzetu duniani ,kiashiria ni mapokeo ya chanjo ,mpaka sasa imedoda,haiwezekani vifo vingekuwa vya kutisha mpaka sasa chanjo milioni moja hazijaisha.tuko milioni 60 na ushee.
Wakubwa wa dunia kupitia taasisi zao wametuambia tujiunge mpango wa covax ili tupokee chanjo za kutosha kwa gharama zetu wenyewe huku virus hao wakibadilika kila uchao.
Hivyo serikali imeshutuka hilo la gharama kubwa za chanjo.
Kwani chanjo zikidoda serikali itakuwa na sababu ya kukwepea
Utaagizaje mzigo usio toka ?,hapa serikali imepiga bao la kisigino maridadi sana ,lile neno hiyari liendelee daima tu.
Gwajima aachiwe uwanja mpana kuziikaanga hizi chanjo mwendo kasi kwa kigezo cha uhuru wa kutoa maoni ambapo hata huko kwa wezetu yanafanyika,wanaoipinga hakuna sehemu wanayoitwa kuhojiwa,
Kadhalika wanaopigia chanjo promo pia wakazane kuitafutia soko ,
Intelijinsia yangu inaniambia kwamba Gwajima na wengine mfano wake ni muhimu kuikwepesha serikali na gharama za kulazimisha za wahuni wa huko duniani