Viongozi muwe na hofu ya Mungu, vinginevyo yatakayowapata msimlaumu

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,140
Kiongozi ni mtu yeyote atazamwaye na wananchi waliowengi kwa nia ya kuongozwa au kufika kule wanakotarajia na kunakotazamiwa na wananchi hao.

Kiongozi anamajukumu makubwa zaidi kuliko miiko tu ya kazi, anaongoza roho za watu.

Kiongozi ni nani?
  • Kiongozi ni yule mwenye madaraka makubwa au madogo
  • Kongozi ameajiri watu wengi au ana watu wengi wanaomtegemea
  • Kiongozi hata ukiwa na biashara kubwa zinazogusa maisha ya watu wengi na wewe umo
Kiongozi na katika KUONGOZA watu njia sahihi ni ile inayompendeza Mungu.

Hivyo basi mtu akichaguliwa kuwa Kiongozi, hapo hapo anapata upako wa Mungu kuongoza wengine, na madaraka hayo ni lazima yawe na baraka za Mungu.

Sasa Kiongozi anapokiuka karama hiyo ya kuongoza , ni sawa kabisa ya kumkufuru Mungu.

Maneno kiongozi anayotaka mdomoni mwake ni lazima yamshuhudie utukufu wa Mungu na uumbai wake.

Bnadamu hana uwezo wa kuumba hata sisimizi au mbu, hilo ni jukumu la Mungu pekee.

IGP Simon Sirro ni mkristo, hayo niliyosema hapo juu anayajua maana katika umri wake amehubiriwa sana makanisani juu ya madaraka.

Mfalme Solomon alipoombwa aombe kitu chochote toka kwa Mungu, yeye alichagua HEKIMA kuliko vitu vyote, maana madaraka alikuwa nayo, ufalme wa nchi ulkuwa wake na hata mali alikuwa nazo nyingi tu.

Tuliyoyasikia toka mdomoni mwa Simon Sirro ni kufuru, ametaka watu wasizae mtu asiye mpenda, Hamza.

Hamza ana makosa ya mauaji na kahukumiwa hapohapo, kauwawa na polisi.

Hata hivyo maneno ya Simon Sirro juu ya huyu kijana Hamza yamewasikitisha wengi.

Siamini kwamba Sirro ana kiburi kiasi kile, naamini naye alikuwa amefadhaika na tukio lile la askari wanne kuuwawa.

Hapo ndio nasema simon Sirro aombe hekima ya kuyabeba mambo yote kikazi na kimoyo, vinginevyo kufuru za kudhihaki uumbaji wa Mungu zinaweza kumrudi kwa namna asiyotarajia.
 
Kongozi natakatika KUONGOZA watu njia sahihi na inayompendeza Mungu.

Hivyo basi mtu akichguliwa kuwa Kiongozi, hapo hapo anapata upako wa Mungu kuongoza wengine, na madaraka hayo ni lazima yawe na baraka za Mungu.

Sasa Kiongozi anapokiuka karama hiyo ya kuongoza ni sawa kabisa ya kumkufuru Mungu.

Maneno kiongozi anayotaka mdomoni mwake ni azima yamshuhudie utukufu wa mungu na uumbai wake.

Bnadamu hana uwezo wa kuumba hata sisimizi au mbu, hilo ni jukumu la Mungu pekee.

IGP Simon Sirro ni mkristo, hayo niliyosema hapo juu anayajua maana katika umri wake amehubiriwa sana makanisani juu ya madaraka.

Mfalme Solomon alipoombwa aombe kitu chochote toka kwa Mungu, yeye alichagua HEKIMA kuliko vitu vyote, maana madaraka alikuwa nayo, ufalme wa nchi ulkuwa wake na hata mali alikuwa nazo nyingi tu.

Tuliyoyasikia toka mdomoni mwa Simon Sirro ni kufuru, ametaka watu wasizae mtu asiye mpenda, Hamza.

Hamza ana makosa ya mauajina kahukumiwa hapohapo, kauwawa na polisi.

Hata hivyo maneno ya Simon Sirro juu ya huyu kijana Hamza yamewasikitisha wengi.

Siamini kwamba Sirro ana kiburi kiasi kile, naamini naye alikuwa amefadhaika na tukio lile la askari wanne kuuwawa.

Hapo ndio nasema simon Sirro aombe hekima ya kuyabeba mambo yote kikazi na kimoyo, vinginevyo kufuru za kudhihaki uumbaji wa Mungu zinaweza kumrudi kwa namna asiyotarajia.
Maneno yanaumba siku zote, afande Sirro analeta kiburi mbele ya huyu Mama ni yale yale ya yule mchungaji anayekataa chanjo.

Ipo namna ya hawa wawili kushughulikiwa na Mungu mwenyewe pasipo mkono wa binadamu kuhusika.
 
Kiongozi ni mtu yeyote atazamwaye na wananchi waliowengi kwa nia ya kuongozwa au kufika kule wanakotarajia na kunakotazamiwa na wananchi hao.

Kiongozi anamajukumu makubwa zaidi kuliko miiko tu ya kazi, anaongoza roho za watu.

Kiongozi ni nani?
  • Kiongozi ni yule mwenye madaraka makubwa au madogo
  • Kongozi ameajiri watu wengi au ana watu wengi wanaomtegemea
  • Kiongozi hata ukiwa na biashara kubwa zinazogusa maisha ya watu wengi na wewe umo
Kiongozi na katika KUONGOZA watu njia sahihi ni ile inayompendeza Mungu.

Hivyo basi mtu akichaguliwa kuwa Kiongozi, hapo hapo anapata upako wa Mungu kuongoza wengine, na madaraka hayo ni lazima yawe na baraka za Mungu.

Sasa Kiongozi anapokiuka karama hiyo ya kuongoza , ni sawa kabisa ya kumkufuru Mungu.

Maneno kiongozi anayotaka mdomoni mwake ni lazima yamshuhudie utukufu wa Mungu na uumbai wake.

Bnadamu hana uwezo wa kuumba hata sisimizi au mbu, hilo ni jukumu la Mungu pekee.

IGP Simon Sirro ni mkristo, hayo niliyosema hapo juu anayajua maana katika umri wake amehubiriwa sana makanisani juu ya madaraka.

Mfalme Solomon alipoombwa aombe kitu chochote toka kwa Mungu, yeye alichagua HEKIMA kuliko vitu vyote, maana madaraka alikuwa nayo, ufalme wa nchi ulkuwa wake na hata mali alikuwa nazo nyingi tu.

Tuliyoyasikia toka mdomoni mwa Simon Sirro ni kufuru, ametaka watu wasizae mtu asiye mpenda, Hamza.

Hamza ana makosa ya mauaji na kahukumiwa hapohapo, kauwawa na polisi.

Hata hivyo maneno ya Simon Sirro juu ya huyu kijana Hamza yamewasikitisha wengi.

Siamini kwamba Sirro ana kiburi kiasi kile, naamini naye alikuwa amefadhaika na tukio lile la askari wanne kuuwawa.

Hapo ndio nasema simon Sirro aombe hekima ya kuyabeba mambo yote kikazi na kimoyo, vinginevyo kufuru za kudhihaki uumbaji wa Mungu zinaweza kumrudi kwa namna asiyotarajia.
Viongozi wetu wako juu ya MUNGU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom