Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868

Katibu wa Itikadi Na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole anasema mbele ya Kamera na vinasa sauti, Kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi kuna majizi Na anawajua ila Kila akiomba ruhusa awataje wakubwa ndani ya Chama wanamzuia.

Najiuliza maswali
1.Hao wakubwa wanaomzuia Polepole asiwataje ni akina Nani?wakubwa kiitifaki Kwa Polepole ni akina Nani?

2.Majizi ndani ya Chama wao hawakamatwi?Kwa hiyo Takukuru wanamipaka ya nani akamatwe na Nani asikamatwe?

Kama ndiyo tunavyoendesha nchi hivi,basi Safari yetu ni ndefu sana.
 
Kiki zingine hazinogi kabisa! Sasa huyo Pole Pole awataje wale wakazi wa Chato na Kolomije atakuwa anajipenda kweli!

Nasikitika kuwa tupo kwenye nchi ambayo wajinga wameshika akili za wajinga... Yaani ni hatari tupu!
Kwingineko hiyo kauli ingewatosha upinzani kujenga hoja madhubuti... Lakini upinzani ndo kwanza wanajadili ni jinsi gani wazidi kutengana! As if hawana a common enemy ambaye ni ccm.

Kwingineko mamlaka ya kudhibiti rushwa ingepata pa kuanzia... Lakini hapa kwetu mamlaka yenyewe ya rushwa inapokea rushwa kuliko kifani!
Kwingineko wananchi wange demand watajiwe hayo majizi... Lakini hapa wanamuachia MUNGU aamue cha kufanya!

NB: Hayo majizi yapo standby kusubiri mkopo kutoka WB... Hiyo hela ikiingia tu wanarudimo!
 
Safari ya kuelekea ktk uchaguzi tutaona mengi,kama vile kusainiwa mikataba mibovu,Mishahara ya wafanyakazi wa uma itapandishwa siku kuu ya Mei Mosi,
Wanaendelea kufumaniana kwa wizi wa mali za chama wao kwa wao,watazidi na watazidi kutumbuana kila kukicha,na mengineyo tutazidi kuyaona,,,Yajayo yanafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vigumu sana karne hii kuwapata wanamapinduzi wa dhati wenye mioyo ya chuma kama kina Nyerere, Sokoine, Dr. Kleruu, nk.
 
Katibu wa Itikadi Na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole anasema mbele ya Kamera na vinasa sauti, Kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi kuna majizi Na anawajua ila Kila akiomba ruhusa awataje wakubwa ndani ya Chama wanamzuia.

Najiuliza maswali
1.Hao wakubwa wanaomzuia Polepole asiwataje ni akina Nani?wakubwa kiitifaki Kwa Polepole ni akina Nani?

2.Majizi ndani ya Chama wao hawakamatwi?Kwa hiyo Takukuru wanamipaka ya nani akamatwe na Nani asikamatwe?

Kama ndiyo tunavyoendesha nchi hivi,basi Safari yetu ni ndefu sana.
Mwongo huyu anayemzuia ni nani?Hana lolote mbabaishaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari ya kuelekea ktk uchaguzi tutaona mengi,kama vile kusainiwa mikataba mibovu,Mishahara ya wafanyakazi wa uma itapandishwa siku kuu ya Mei Mosi,
Wanaendelea kufumaniana kwa wizi wa mali za chama wao kwa wao,watazidi na watazidi kutumbuana kila kukicha,na mengineyo tutazidi kuyaona,,,Yajayo yanafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ex waziri mambo ya ndani hata uteuzi wa ubunge kupitia CCM ajue hapiti!!
 
Back
Top Bottom