Katiba ya Tanzania ni ya nchi za kifalme na CCM ni "kama" dini ya Serikali hata CHADEMA wakiwa madarakani hawataibadilisha

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,853
141,785
Katiba ya JMT imekaa kifalme na mkuu wa nchi amepewa nguvu za kifalme na katiba kwamba yuko juu ya kila kitu.

Hata CCM ni chama kilicho katika mfumo kama wa dini kuna watu wanaamini katika CCM kuliko wanavyomwamini Mungu na hii hautaikuta katika vyama vya upinzani ambako wamejazana watafuta fursa na wapiga dili.

Kiufupi haitawezekana Chadema kuleta katiba mpya kwa sababu serikali haijaundwa na CCM bali iko ndani ya CCM.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Katiba ya JMT imekaa kifalme na mkuu wa nchi amepewa nguvu za kifalme na katiba kwamba yuko juu ya kila kitu.

Hata CCM ni chama kilicho katika mfumo kama wa dini kuna watu wanaamini katika CCM kuliko wanavyomwamini Mungu na hii hautaikuta katika vyama vya upinzani ambako wamejazana watafuta fursa na wapiga dili.

Kiufupi haitawezekana CHADEMA kuleta katiba mpya kwa sababu Serikali haijaundwa na CCM bali iko ndani ya CCM.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Unaposema wamejazana watafuta fursa na wapiga dili unataka ku justify waendelee waliopo? Kwan katiba mpya wanayoisema upande wa pili ukiridhia ipitishwe katiba mpya wakiingia watairudisha katiba ya zaman? Unajua wee bwashee haya tu endelea!
 
Katiba ya JMT imekaa kifalme na mkuu wa nchi amepewa nguvu za kifalme na katiba kwamba yuko juu ya kila kitu.

Hata CCM ni chama kilicho katika mfumo kama wa dini kuna watu wanaamini katika CCM kuliko wanavyomwamini Mungu na hii hautaikuta katika vyama vya upinzani ambako wamejazana watafuta fursa na wapiga dili.

Kiufupi haitawezekana CHADEMA kuleta katiba mpya kwa sababu Serikali haijaundwa na CCM bali iko ndani ya CCM.

Mungu ni mwema wakati wote!
Haya mawazo/maoni uliyo yatoa hapa ni ya kwako, au ni ya Mzee Mgaya?

Maana wewe na Mzee Mgaya ni sawa tu na uchafu na Nzi!! Yaani ni vigumu sana kuwatengenisha.
 
Naona mkuu umeamua kuwa mganga wa kienyeji au mchungaji fulani..unaagua na kutabiria yajao!
 
Back
Top Bottom