IGP cheo kisichohitaji taaluma ( Professionalism)?

El Roi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
297
Reaction score
538
Napenda nikiri kwamba linapokuja suala la kazi ya polisi, ni muhimu kujua kwamba hii ni kazi muhimu, ni taaluma na inahitaji kuenziwa Sana.

La kushangaza miaka kadhaa huko nyuma niliwahi kumuuliza mmoja wa askari polisi msomi sana na aliyekuwa na cheo kikubwa. Vipi, naona kwa hii shule yako,UIGP unanukia" Hilo ndo nililikuwa swali langu au ukipenda maoni yangu.

Jibu la yule afande msomi ndo lilinishangaza. " Kazi ya UIGP ni kazi isiyofaa alijibu (any way, alitumia neno, " ni KAZI ya ovyo)

Aliongeza kusema" ngoja nibaki hukuhuku chini na kazi yangu ya taaluma" akaongeza, ' huku sipewi amri za ajabu ajabu za kuonea, pigeni hao nk."

Aliongeza, " sitaki kutekeleza amri zilizo kinyume na kazi yenyewe na haki za kisiasa za watu."

Baada ya maelezo ya huyo afande learned friend, ilinipa kiasi mshangao na ikanipa maswali kadhaa kuhusu nafasi ya UIGP.

1) Je ni lweli hii ni nafasi ya kuamrishwa tu ili utekeleze matakwa ya wakubwa?
2) Hii ni kazi isiyohitaji kutumia taaluma potelea mbali hata hiyo taaluma ya upolisi yenyewe?

3) Hivi nafasi ya UIGP siyo huru( independent)?

Nimeona mjadala hapa suzani Kaganda na Kiondo hapa wakipigiwa chapuo la kuwa replacement ya Afande Sirro( current IGP).

Kama maoni ya huyu afande ni kweli, wao watafanya miujiza gani kubadili mambo?

Suppose, aliyewateua au senior government officer aliye juu Yao anawapa amri mbaya, watakataa?

Au ndo maoni ya wanakatiba mpya yanapoingia, ofisi huru na vetting ya IGP kuwa bungeni?

Embu tujadiliane kidogo
Wasalaam.
 
Inawezekana uliyemuuliza ni Kiondo
Huyu jamaa yuko smart sana
Angefaa kuwa IGP kwenye nchi ya utawala wa sheria
Kama watampa uIGP nchi hii itarudi kwenye uhuru au hatodumu kwenye hicho cheo watamuondoa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Napenda nikiri kwamba linapokuja suala la kazi ya polisi, ni muhimu kujua kwamba hii ni kazi muhimu, ni taaluma na inahitaji kuenziwa Sana.

La kushangaza miaka kadhaa huko nyuma niliwahi kumuuliza mmoja wa askari polisi msomi sana na aliyekuwa na cheo kikubwa. Vipi, naona kwa hii shule yako,UIGP unanukia" Hilo ndo nililikuwa swali langu au ukipenda maoni yangu.

Jibu la yule afande msomi ndo lilinishangaza. " Kazi ya UIGP ni kazi isiyofaa alijibu (any way, alitumia neno, " ni KAZI ya ovyo)

Aliongeza kusema" ngoja nibaki hukuhuku chini na kazi yangu ya taaluma" akaongeza, ' huku sipewi amri za ajabu ajabu za kuonea, pigeni hao nk."

Aliongeza, " sitaki kutekeleza amri zilizo kinyume na kazi yenyewe na haki za kisiasa za watu."

Baada ya maelezo ya huyo afande learned friend, ilinipa kiasi mshangao na ikanipa maswali kadhaa kuhusu nafasi ya UIGP.

1) Je ni lweli hii ni nafasi ya kuamrishwa tu ili utekeleze matakwa ya wakubwa?
2) Hii ni kazi isiyohitaji kutumia taaluma potelea mbali hata hiyo taaluma ya upolisi yenyewe?

3) Hivi nafasi ya UIGP siyo huru( independent)?

Nimeona mjadala hapa suzani Kaganda na Kiondo hapa wakipigiwa chapuo la kuwa replacement ya Afande Sirro( current IGP).

Kama maoni ya huyu afande ni kweli, wao watafanya miujiza gani kubadili mambo?

Suppose, aliyewateua au senior government officer aliye juu Yao anawapa amri mbaya, watakataa?

Au ndo maoni ya wanakatiba mpya yanapoingia, ofisi huru na vetting ya IGP kuwa bungeni?

Embu tujadiliane kidogo
Wasalaam.

kama sirro ameweza kuwa IGP ata juma lokole anaweza
 
Ndo maana ndani ya katiba mpya tunataka hizo nafasi zithibitishwe ndani ya bunge ili rais asiwe na mamlaka kamili ya kumwondoa ofisini bila idhini ya bunge...
 
Marehemu Hussein Laizer aliyekuwa Interpol Nairobi naye alifaa avae viatu vya U IGP. Muislamu mmoja alikuwa msomi mshika dini na alinyooka sana. Sema ndio hivyo mola amemuita makazi ya milele.

Moja ya hitaji kubwa la katiba mpya ni kuweka hizi nafasi ziwe independent yaani zisiwe biased kutokana na kufuata kauli,utashi na akili ya anayeteua.
 
Back
Top Bottom