Yapi majukumu ya mtu huyu?

msimamia kucha

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
616
487
Wakuu habari za majukumu, naomba kujua kwenye uelewa wa huyu mwamba ambae nimezungushia kiduara kwenye hizo picha nilizoattach, nimekuwa nikimuona kwenye shughuli mbali mbali toka enzi za utawala wa JIWE na sasa mama SSH, je huyu mwamba ni nani na majukumu yake ni yapi, ni kitengo? Taswira yake haionekani vyema kwa kuwa kavaa barakoa na sijafanikiwa kupata picha yake kamili anavyooneka. Nawasilisha.

IMG_20210908_113636_0~2.jpg

IMG_20210908_113650_5~2.jpg
 
Sasa mbona majibu yako wazi. Ni mmoja wa Maafisa usalama wa Rais. Kama unataka kufahamu mpaka jina lake, mahali anakoishi, ameoa/hajao! Wazazi na ndugu zake ni akina nani? Hii sasa itakua ni kesi nyingine.
 
Hahahaha
Naona mdau alitaka
Labda ajue, hizo taarifa

Ova
 
Sasa mbona majibu yako wazi. Ni mmoja wa Maafisa usalama wa Rais. Kama unataka kufahamu mpaka jina lake, mahali anakoishi, ameoa/hajao! Wazazi na ndugu zake ni akina nani? Hii sasa itakua ni kesi nyingine.
Invitana zumbee, hongea sana zumbe Mkuu..ahhhahhaaa..
 
Siku nyingine ukipata bahati kuangalia tukio zima, tazama glass pamoja na maji anayokunywa kiongozi huyo yataletwa nae.

Kwenye Biblia wanaitwa wanyweshaji wa mfalme. Pia wako waokaji wa mflame. Yusuph alimtafsiria mnyweshaji mmoja wa farao ndoto yake na enzi hizo akaepuka adhabu ya kukatwa kichwa
 
Hivi mnawaogopa sana watumishi wa idara ya usalama wa taifa?

Kiufupi asilimia kubwa ya watumishi na wasaidizi wa ikulu ni TISS

Relax!
Binafsi siwaogopi but they must earn my respect kama tiss ya awamu ya kwanza,kwanza neno tiss nalo lilikua ni siri na hakuna aliyepotezwa na wasiojulikana na wapinzani wote waliishi maisha yao na wapendwa wao hata kama walifungiwa ndani ya vijiji vyao au house arrest,hii ya sasa damu nyingi mno ipo mikononi mwao
 
Tiss ilianza mwaka gani mkuu?
 
Back
Top Bottom