Serikali iache kuwatisha mabalozi. Juzi alisikika waziri akiwapiga mkwara.Hiyo Warning inamaanisha inaipa muda Serikali izungumze nao kuhusu uamuzi wao huo.
Ili iahirishe uamuzi wake huo.
Hiyo ni alarm ya Kidiplomasia tu inayohitaji kueleweka.
Serikali isiendeshwe kimitulinga ikae na Serikali yao ili ipate dukuduku lao lililo pelekea kufanya huo uamuzi.
SUREUkipanda bangi,huwezi vuna mahindi.
Nchi inaendelea kukimbiwa kwasababu ya uongozi mbovu, ni sisi watanzania tu tumebaki kimya wakati watu wa nje wanachukua hatua!
Mimi pia naona kama zimekinzana...Mbona sababu za kufunga ubalozi zilizoelezwa kwenye hii taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ni tofauti na zile zilizoelezwa kwenye taarifa iliyotoka jana kwenye vyombo vya habari?
Tunawalilia Mabeberu? Tuwaache waende zao, si eti eehh?
Kupooza watu eti wanasema kutokana Tanzania kupiga hatua nzuri ya Maendeleo.Mbona sababu za kufunga ubalozi zilizoelezwa kwenye hii taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ni tofauti na zile zilizoelezwa kwenye taarifa iliyotoka jana kwenye vyombo vya habari?
Hujui kwamba CCM ni watu wa propaganda! Taarifa rasmi ya Denmark imeeleza kwa kina sababu za kufunga Balozi ikiwemo nchi zenye mashinikizo katika kufifisha demokrasia, uhuru wa habari na ukiukwaji haki za binadamu.Mbona sababu za kufunga ubalozi zilizoelezwa kwenye hii taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ni tofauti na zile zilizoelezwa kwenye taarifa iliyotoka jana kwenye vyombo vya habari?