Nani ni nani urais wa JMT 2025 kati ya Dr. Kalemani, Paul Makonda na Dr. Shein?

F

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,433
2,000
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
29,980
2,000
Lowassa unamuonea bure!
 
Jackson94

Jackson94

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
314
500
Haya sawa ngojA nisubili hiyo 2025
 
Kadhi Mkuu 1

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
7,757
2,000
Hapa hakuna shape ya rais hata mmoja. Bado muda mrefu mwenye kustahili hajaanza kujulikana nadhani atapatikana kama aliyopatikana JPM. Jina litakuwa mfukoni. Ila ili tupumue tunahitaji mtoto wa mjini
 
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
5,176
2,000
Uwenda ikawa kweli kwa sababu 2020 rais wetu magufuli halafu akimaliza miaka yake hiyo mitano ndio atashika mwingine ila nazani ni huyu wa zanzibar ndio atashika kwa sababu sio sisi zamu yetu ni wa zanzibar sasa.
So makonda na wengine sijui taratibu ya nchi hii nikupeana zamu bara visiwani hii miaka 10 bara sasa nivisiwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
omari londo

omari londo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
1,812
2,000
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
Duh

Uzi takataka kama huu mods mnaulea kwanini???

Kweli bongo taifa la wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
7,593
2,000
Hatumchagui mtu kwa Kabila lake na hatumkatai pia kwa Kabila lake. Mhongo sio msukuma ni mjita.
hatuchagui kabila ndio maana kati ya makabila 136 nimesema msukuma ni mshamba sana, hatuwezi mpa nchi, hawa jamaa wameharibu mambo yaliyojengwa na nyerere, mwinyi na kikwete
 
Top Bottom