Kitendo cha kuvitaka vyama vya siasa vikutane na jeshi la polisi kupata usuluhishi kuhusu haki ya kufanya siasa ni kukwepa wajibu wako, vyama husika vipo kisheria na viliposajiriwa vilipata...
Wadau nchi yetu inaongozwa kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo japo kuna Ukiukwaji Mkubwa wa KATIBA Unafanyika na Wenye KINGA Zao.
VYAMA vya SIASA vipo kwa Mujibu wa KATIBA na Shughuli zao zimeainishwa...
Freeman Mbowe afungua mashitaka Umoja wa Mataifa kuhusu Haki zake wakati anakamatwa na kuendelea kubakia kizuizini mpaka sasa.
Mashitaka hayo yameshapokelewa na kuingizwa kwenye Mfumo rasmi...
Baadhi ya Picha za makovu ya watuhumiwa wa Ugaidi wanaoshitakiwa pamoja na Mbowe zimeanza kuonekana hadharani, hawa watu waliteswa kinyama! Hii nchi haikuwahi kufikia unyama kama huu , tena kwa...
Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.
Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa...
Nakaa nakutafakari sana kule tumetoka na kule tunaenda kama taifa. Nina amini kabisa kama Taifa mtakubaliana nami kazi kubwa sana imefanyika mpaka leo hii yapata miaka zaid ya hamsini ya uhuru...
Na Dk Juma Mohammed
Kwa mara ya kwanza, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa kwanza mwanamke wa Jamhuri ya Muungano...
Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato utakavyokuwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika kwa awamu ya kwanza inayohusisha barabara za kuruka na kutua ndege pamoja na jengo la...
Wazalendo,
Leo nimetembelea soko la tegeta nyuki kujionea maafa yaliyotokea baada ya soko kuungua kwa 100% kwa sehemu ambalo soko lipo. Hii sehemu kidogo imejitenga.
Ni jambo la kusikiyisha...
Kwa ujumla wamepata fundisho kuwa taifa letu linahitaji amani ndio maana kila mtanzania anataka kila hitaji la kisiasa lipatikane kwa amani.
Hakuna haja ya kulumbana na kuvutana juu ya suala...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa...
Kutokana na kukua kwa tatizo la ajira nchini na kushuka kwa uwezo wa serikali kuajiri, Mhe. God bless Lema kupitia space ya Maria Sarungi anashauri serikali kuanzisha mfumo ajira za mikataba ya...
Kama tungebahatika hata kupata chama kimoja tu kinachojiendesha kitaasisi hapa Tanzania, 2025 tunge zungumza mengine, maana kilamtu leo anajua kuwa CCM inakuna nazi.
Lakini lolote linaweza tokea...
ZIARA TUNDURU
Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini.
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)
Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa...
Nahangaika kuangalia safari za Marais wa Afrika wanaokwenda kwenye kikao cha UN sioni wakitumia usafiri wa Kenya Airways wakati ndio usafiri pekee wakutoka Afrika yadi Marekani moja kwa moja...
Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwa na viongozi mbali mbali mara baada ya kushuka kwenye kivuko cha MV Misungwi wakati akitokea Chato mkoani Geita.
Rais...
Wakuu habari,
Naomba moja kwa moja niwe mkweli juu ya hisia zangu kuwa nimefurahia mno utenguzi wa Nape kwenye nafasi yake ya uwaziri.
Sababu moja wapo ya furaha yangu ni kuwa sasa Nape ndio...
Tukiwa maeneo yetu tunaambiana kuwa tusikosoe awamu hii kwa sababu ni awamu ya...
1. Dini yetu
2. Jinsia yetu
3. Kabila letu
4. Asili yetu.
Hapana. Mimi sikuwa nampinga Hayati Magufuli kwa...
Na Mwandishi Wetu.
Vunjo, Moshi.
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan...