Profesa Makame Mbarawa ni Clatous Chota Chama aliyekuwa amekaa Bench katika Kikosi imara cha Samia Tanzania FC

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika.

Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Mbarawa asieleweke ni Uungwana wake wa Kiasili.

Ila kama kuna Mtendaji ambaye katika Wizara (Dockets) alizopita alikubalika na Wafanyakazi ni Profesa Mbarawa.

Umakini wa hali ya juu, Kutokurupuka, Kutodharau Watendaji, Uweledi na Busara ndiyo Silaha yake Kuu.

Profesa Mbarawa tafadhali usituangushe ambao hatujaanza Kukujua leo na sasa kachape Kazi kwani unaweza.

Na najua wapo watakaokuja Kukukandia katika Uzi huu ila zote hizo zichukue kama Changamoto ya Kukujenga zaidi.

Mightier nikimsifia Mtu jua namaanisha kweli na nimeshajiridhisha nae hivyo nenda Kamsaidie Mama Serikalini.

Mungu awatangulie Wote mlioteuliwa.
 
Wakati wa JPM alipewa Wizara hiyo hiyi
Tena akiwa Pemba JPM alisema amempa Wizara hiyo kukomoa Wapemba waliomnyima kura Mbarawa kwny Uchaguzi wa 2020

Mie nilijua kwny uchaguzi wa 2025 Mbarawa alipigwa chini sikujua kama ni Mbunge
Hiyo wizara siyo ya Muungano. Washauri wa rais wana mpotosha. Mbarawa alitakiwa kupewa wizara ya ulinzi.
 
Huko Zanzibar kwenye ofisi Watanganyika wanatafutwa kwa 🔦 na ukimpata mmoja basi kapewa ukatibu yupo ofisini wala hakutani na mtu!.
 
Ndungulile nafikiri kusifiwa na Gwajiboy kumemponza arudi akawe beki bencha na wakina Kelemani tuone panapo uzima 2025 labda Mungu wa Mbinguni atahuhisha taifa hili.

Nataka nione J.pili ijayo Asikofu atakavyombea kwa bidii haya mabadikiko ya baraza.
 
Hiyo Wizara siyo ya Muungano. Washauri wa rais wana mpotosha. Mbarawa alitakiwa kupewa Wizara ya ulinzi.

Mambo kama haya yanatakiwa yawepo katika Katiba ya nchi. Msiliwalaumu washauri bure. Laumuni walitutungia katiba na kupitiwa au kwa makusuidi wakacha haya mapungufu. Ni wakati muafaka sasa vuguvugu la kudai katiba kwa njia za amani na kufuata sheria zitumike.
 
Back
Top Bottom