January Makamba acha mchezo huu mara moja

January Makamba acha mchezo huu mara moja

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
648
Reaction score
621
Nakuheshimu na nakutakia kila la kheri katika harakati zako lakina kuwa naibua waziri wa wizara ya mawasiliano isiwe sababu ya kusumbua watu wasi hata mashabiki wa chama chako.

Acha mara moja huu mchezo wa kunitumia vi sms vyako kwani sijawahi kukutana na wewe popote pale wala kuwa sehemu ya team yako wala kuhudhuri kikao chako wala kuwa mwanavhama wa chama chako. Unaniudhi sana .....Acha mara moja. Usiwatumie TCRA vibaya.
 
Attachments

  • 1435161502158.jpg
    1435161502158.jpg
    36.6 KB · Views: 4,585
  • 1435161533758.jpg
    1435161533758.jpg
    32.8 KB · Views: 3,522
Hizi automated sms sizitaki kuanzia leo
 
Hahaha mimi sijaisoma nime I delete fastaa
 
Inaudhi sana yani kuwa na Access TCRA tu inakuwa shida. Aache kabisa. Najua huwa anasoma humu
Mkuu hapo TCRA wala hawahusiki hata kidogo, labda watahusika pindi ukipeleka malalamiko. Hiyo ni SMS broadcasting. Kampuni nyingi tu zinatoa hiyo service na wala si TCRA.
 
Mkuu hapo TCRA wala hawahusiki hata kidogo, labda watahusika pindi ukipeleka malalamiko. Hiyo ni SMS broadcasting. Kampuni nyingi tu zinatoa hiyo service na wala si TCRA.

Lakini mimi sihitaji huu upuuzi hata kama ni huduma hiyo source ni yeye hivyo atambue kuwa si kila mtu anahitaji. Halagu si wa ndo waliopitisha sheria ya cybercrime? Na TCRA si ndio regulator? Wameruhusuje huu upuuzi? Ananizidishia hasira tu
 
Nitapata ushauri wa kisheria akiendelea niende
 
Andaa pesa njoo tumshtaki, nitasimamia kesi yako ila uwe na dau la kutosha kushindana nae kisheria, uawezaa????????????
 
Andaa pesa njoo tumshtaki, nitasimamia kesi yako ila uwe na dau la kutosha kushindana nae kisheria, uawezaa????????????

Labla akulipe kwa $ utapata faida ila akikulipa kwa tsh hapo lazma uingie mfukoni kumshinda na hasara juu!
 
Yan angekua na busara mnoo...kama izo automated sms zingekua na link za Ku-"un subscribe"...ili mtu ambaye hayupo interested akwepe uo usumbufu...😡😡😡😡😡
 
Back
Top Bottom