Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa miaka mitano ya uongozi wake hayati rais Magufuli aliutumia kuwafundisha na kuwafumbua macho watanzania kwa maana nyingine kukarabati mind zao. Hayati Magufuli alikarabati mind za watanzania...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Mahojiano ya Lema na Msigwa ndani ya KTN, nadhani Lema na Msigwa walikuwa wana mambo mengi ya kuiambia dunia lakini ukosefu wa maneno kadhaa ya kiiengereza kumewaficha sana. Mfano neno dictator...
35 Reactions
547 Replies
60K Views
Kwa minajili ya kuleta uwajibikaji mzuri wa serikali na usimamizi mzuri wa mhimili wa bunge kwa serikali, muda sasa ni muafaka kwa taifa letu kuanza kutafakari uwezekano wa Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
"TUSHIRIKIANE KUIPAMBA TEMEKE" DC JOKATE. Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Urban Mwegelo leo Septemba 20,2021 amefanya kikao na viongozi wa machinga wilaya ya Temeke,watendaji wa mitaa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Taswira kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Katika jamii yoyote ile ya binadamu tangu enzi za ujima hata sasa, binadamu wamejiwekea mifumo...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wakala wa chakula NFRA kuweka utaratibu mzuri ili kumaliza sintofahamu iliyopo juu ya ununuzi wa mahindi Manispaa ya Songea kwa kuhakikisha wananchi wote...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi. Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera. Chanzo: ITV habari
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Kwa kuzingatia historia ya utendaji wa bunge letu na mabaraza ya madiwani na jukumu la msingi...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Rais Samia ataka wananchi wasichukulie kirahisi mabadiliko ya tabia ya nchi The Diplomat Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliojadili athari za...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Mnamo Agosti 4 - 6, 2014 US ilikuwa na mkutano baina yake na baadhi ya viongozi wa Afrika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Awamu iliyopita wale jamaa wa kuchangamkia fursa walitengeneza slogan ambayo ilikuja kupata umaarufu Sana. Slogan iliitwa MATAGA maana yake ni Make Tanzania Great Again. Sasa hivi wale wazee wa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu Kwema!!! Tutozane. Tukamuane, Tuzinguane, Tuchapane, Tuchanane, Lakini tusiuane. Kwa kweli Mimi Taikon naona ni mara elfu Tozo kuliko Kutekana, kuuana, kupotezana Kwa kisingizio cha...
19 Reactions
70 Replies
4K Views
Nasema hivo kwa sabau zifatazo:. •CCM imekuwa madarakani tokea kaundwa kwake mwaka 1977 na kwa sababu hiyo kutokana na hurka za wanadamu kimeonesha kupoteza ushawishi kadri siku zinavoenda. •CCM...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Bado naendelea kushtushwa na kitendo cha IGP kusema kua wana mpango wa kukagua mafunzo yalotolewayo na na taasisi za kidini humu nchini, watuambie kua Polisi huo ujuzi wameutoa wapi na...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanabodi, Wanao fuatilia kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe lazima wana fahamu kwamba kuna kushinda na kushindwa. Kushinda kuna ashiria mambo mengi lakini kubwa kuliko lote ni kwamba...
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya wabunge wa CCM amesema wamewahoji wabunge watatu ambao ni Komredi Polepole, askofu Gwajima na Jerry Slaa Amesema ni utaratibu wa chama kurudishana kwenye mstari...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo...
35 Reactions
106 Replies
7K Views
Nimesoma taarifa kuwa waziri Makamba atafukuza watu umeme ukiendelea kukatika nimejikuta nasema 'yale yale'.. Makamba mashabiki wake wanampamba Sana kama mtu mwenye akili na Presidential material...
40 Reactions
99 Replies
8K Views
CCM YATAKA WAWAKILISHI WAKE KUWA KARIBU NA WANANCHI Songea, Ruvuma 19 Septemba, 2021 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka viongozi wa chama hicho...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Kitendo cha kuvitaka vyama vya siasa vikutane na jeshi la polisi kupata usuluhishi kuhusu haki ya kufanya siasa ni kukwepa wajibu wako, vyama husika vipo kisheria na viliposajiriwa vilipata...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…