Rais Samia amemteua Dk Abdul Rahman Shabani Mwanga kuwa Kamishina wa Madini

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia, amemteua Dkt. Abdul Rahman Mwanga kuwa Kamishna wa Madini.

Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Mwanga alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Madini na Mazingira, Tume ya Madini, Dodoma.

Dk Mwanga Anachukua nafasi ya Mhandisi David Mulabwa.

20210912_182357.jpg
 
OK noted

Mkuu karne ya ishirini na moja bado unawaza mambo ya dini

Kuna Dini nyingi hapa Tanzania na hao wahindu, Baniani wameshateuliwa

Watu kama hawa mbona sioni nafasi zao na ni Raia wanaishi upanga

Harishkumar Patel

Purihot Babla Patani

Veenay Prashant

Himashsinhi Praveen

Na mimi "Gussie Smart " ni Dini gani

Kuna muda yatupasa kujadili ideas na si kujadili majina ya watu

Nafasi ya kazi ni taaluma pia za watu, Huna taaluma ya madini unataka upewe nafasi

Mambo ya dini yajadiliwe huko makanisani na misikitini au kwenye Temples


Jina kama" Mwakatapanya Mwaitende Mwakafilombe" ni Dini gani huyu
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Dk Abdul Rahman Shabani Mwanga kuwa Kamishina wa Madini. Mwanga alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Madini na Mazingira katika Tume ya Madini Dodoma. Anachukua nafasi ya Mhandisi David Mulabwa.
 
Dkt. Abdul Rahmani Shabani Mwanga ameteuliwa kuwa Suluhu Kamishna wa Madini

Dkt. Mwanga alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Madini na Mazingira katika Tume ya Madini Dodoma

Anachukua nafasi ya Mhandisi David Mulabwa
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Dk Abdul Rahman Shabani Mwanga kuwa Kamishina wa Madini. Mwanga alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Madini na Mazingira katika Tume ya Madini Dodoma. Anachukua nafasi ya Mhandisi David Mulabwa.
Mbona taarifa fupi....haisemi aliekuwepo anaenda wapi...
 
Bado KM, nishidaaa kwelikweli
RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Dk Abdul Rahman Shabani Mwanga kuwa Kamishina wa Madini. Mwanga alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Madini na Mazingira katika Tume ya Madini Dodoma. Anachukua nafasi ya Mhandisi David MulMul
 
Back
Top Bottom