Je, 2025 fomu ya urais kura za maoni CCM itakuwa moja?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,599
141,415
Ninavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030.

Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama.

Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Hakuna aijuae kesho

Mwenda zake aliwahi kusema “Zanzibar msinichagulie mtu nitakayekua namuamkia shkamoo”, “na hata 2025 nikiondoka msiniletee anaenizidi umri”.

Leo hii yuko wapi
Uwepo wa kifo hautuzuii binadamu kuwaza au kutenda. Vinginevyo hata shule asingesoma angekaa anakisubiria kifo.
 
Yes, ndivyo itakavyokuwa kutokana na mazoea mliyojijengea huko chamani kwenu, mtasema muacheni mama amalizie aliyoanzisha, na kwa kauli aliyoitoa ataogopwa hata wagombea wenzake.
 
Ninavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030.

Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama.

Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020.

Mungu ni mwema wakati wote!
Unaogopa Nini wakati huyo mama yako anaupiga mwingi?
 
Ninavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030.

Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama.

Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020.

Mungu ni mwema wakati wote!
sukuma gang hawatakubali labda wapewe chai ndefu
 
Ninavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030.

Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama.

Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020.

Mungu ni mwema wakati wote!
Chama Cha Mapinduzi kamwe hakiwezi kuwa Cha kidemokrasia
 
Sema fomu itakuwa moja tu tena ya yenye kutaka mchukua fomu awe mwanamke na cheo cha urais wa Tz.
 
Back
Top Bottom