Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Sudan Kusini

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,263
2,000
Mjumbe Maalum wa Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini, Balozi Albino Ayurl Aboug amesema Taifa hilo linaomba kutumia Bandari ya Dar kusafirisha mizigo yake‬

‪Ameeleza hayo leo Ikulu Dar baada ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kuongeza kuwa Sudan Kusini bado inahitaji Walimu wa kufundisha Kiswahili kutoka hapa Nchini‬

FDA72FDB-468C-4D7C-A510-1C9758A884A8.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom