E-mails kati ya James Rugemalira na Rais Jakaya Kikwete zitamaliza kesi

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,000
JR is not stupid kama mnavyo fikiria

anazo paper trail ambazo zinaweza kuiangusha serikali. Na hapa siongelei email zilizokuwa humu JF kisha zikaondolewa. By paper trail nina maanisha nani alilipwa nini na lini na pesa ziliwekwa account zipi na baadae zilitolewa na nani....

JR ataimuimplicate JK (alikuwa waziri wa nishati na madini) na hii itawagusa watu wengi sana waliopo na wasiokuwepo.

The only solution ya hili jinamizi ni Katiba mpya lakini kwa kuangalia ile rasim ya katiba iliyopendekezwa means kuwa Rais Magufuli naye akiondoka ataweza kushtakiwa.

Hii movie bado mbichi sana na sidhani kama tutafika kokote kule. Unless JR apatwe na ugonjwa wa moyo....

Nitarudi shortly kuna wageni wamekuja
 
RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,376
2,000
Una maanisha pamoja na JPM kupangua pangua safu za nyuma bado anaweza kuangushwa? Hii sidhani kama inaweza kutokea kirahisi hivyo. JPM naona anafanya well calculated movements and he has got the good guy to help him find the best direction for the time being.
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,383
2,000
Magufuli anamchimba JK huku akiuma na kupuliza. Anasema nendeni mkamuhoji Chenge, Yona, Karamagi etc ila JK hatajwi. Sasa akina Rugemarila wanashughulikiwa na along the way jina la JK litaibuka tu.

Safi sana Magufuli. Wasomeshe namba mpaka wajute kukufahamu. Japo huenda wasifungwe, ila cha moto wanakipata.
 
South

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
3,494
2,000
Una maanisha pamoja na JPM kupangua pangua safu za nyuma bado anaweza kuangushwa? Hii sidhani kama inaweza kutokea kirahisi hivyo. JPM naona anafanya well calculated movements and he has got the good guy to help him find the best direction for the time being.[/QUOTE
Best calculation anayoweza kuifanya na kumuokoa kama kweli ana nia ni katiba mpya japo inaweza kuwa mwiba hata kwake
 
cdc

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
440
500
JR is not stupid kama mnavyo fikiria

anazo paper trail ambazo zinaweza kuiangusha serikali. Na hapa siongelei email zilizokuwa humu JF kisha zikaondolewa. By paper trail nina maanisha nani alilipwa nini na lini na pesa ziliwekwa account zipi na baadae zilitolewa na nani....

JR ataimuimplicate JK (alikuwa waziri wa nishati na madini) na hii itawagusa watu wengi sana waliopo na wasiokuwepo.

The only solution ya hili jinamizi ni Katiba mpya lakini kwa kuangalia ile rasim ya katiba iliyopendekezwa means kuwa Rais Magufuli naye akiondoka ataweza kushtakiwa.

Hii movie bado mbichi sana na sidhani kama tutafika kokote kule. Unless JR apatwe na ugonjwa wa moyo....

Nitarudi shortly kuna wageni wamekuja
Inawezekana una ufahamu mdogo sana kuhusu Magu ndo mana umekuja na analysis ya kijinga kiasi hiki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom