Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mabadiliko hayo ya kupigiwa mfano yametokana na nguvu kubwa ya wananchi kuchangia ujenzi wa ofisi hizo ili kuziboresha . Tunawashukuru Wananchi wote waliojitolea kwa hali na mali kufanikisha...
21 Reactions
56 Replies
5K Views
Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka. Lissu angewapiga maswali mazito mawakili wa serikali wasiojitambua na mashahidi wa uongo na Jamhuri ingeumbuka...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana Jf, Ukisikia kila mkoa una majeshi ya serikali, lakini jeshi butu lisilo na siraha wala chombo chochote hatarishi, jeshi la machinga lilijijengea nguvu za kutisha kiasi kwamba linaogopeka...
16 Reactions
50 Replies
4K Views
Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za...
5 Reactions
94 Replies
9K Views
Benki kuu ya Tanzania BOT imezifungia kwa muda wa mwezi mmoja benki kubwa tano nchini kutojihusisha na ubadilishaji wa fedha za kigeni kutokana na kukiuka kanuni zinazoongoza biashara hiyo. Benki...
20 Reactions
251 Replies
46K Views
Serikali inajitaihdi sana kutoa mafungu mbalimbali ya fedha kwa ajiri ya maendeleo vijijini. Bahati mbaya zile hela mara nyingi vijiji huingiziwa na serikali bila ya kutoa muongozo wa matumizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni wazi kwamba ili ushike dola na kuongoza bila wasiwasi unahitaji kuwa na rasilimali watu ya kutosha. Ila kwa upande wa wapinzani naona Wana watu wachache wenye uwezo wa kiuongozi kuliko CCM...
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Foreign Affairs and International Cooperation minister Francis Katsaira said Tanzania has released a new Lake Malawi map which shows the east African country has taken a chunk of Lake Malawi...
3 Reactions
111 Replies
19K Views
30 September 2021 Kasumbalesa Mpakani mwa DR Congo na Zambia na Nakonde Zambia Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi. Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi leo ameongoza mazishi ya Jaji Haji Omar Haji huko mkoa wa Mjini Magharib Unguja Zanzibar. Jaji Omar Haji Mazishi...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Imeandikwa kwenye Biblia, kitabu cha Mithali 14:34 "Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu. Kwa huu mwendelezo unaoendelea kutolewa mahakamani Katika kesi ya ugaidi...
19 Reactions
24 Replies
4K Views
Biashara ya nyumba ni moja kati ya biashara kubwa Duniani, biashara namba tatu duniani kwa faida na wepesi wa kuiendesha ukilinganisha na biashara nyingine hii inahitaji uangalizi mdogo lakini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania aliyoitoa Septemba 23 kwenye Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) huko New York, imetajwa kuwa miongoni mwa hotuba saba muhimu...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Anaandika mwandishi wa habari wa wapo Radio. Hapo wakati Tuna chati na Dc . Kama Alikuwa Hataki mimi niende katika Ziara yake Ni Vema Angesema kwamba Sitaki Mwandishi Namimi nisingepoteza...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Ni jambo lisilo na shaka kwamba kwa yanayo endelea mahakamani kuhusu kesi ya Mbowe na wenzake kuna jambo nyuma ya pazia. Niseme kwa mtiririko wa ushahidi wa upande wa utetezi, polisi hawakutumia...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Mgogoro wa Ardhi kati ya matajiri na uma wa Eng'arooji ulianza mwaka 2016 kutokana na watu wachache matajiri kujitwalia Ardhi ya uma kinyume na sheria. Baadae kutokana na mgogoro huo, watu hao...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Tarehe 18/10/2015 niliitaka serikali au Mkuu wa majeshi ajitokeze hadharani vinginevyo baada ya siku 7 ningeanzisha kampeni ya "Bring Back Our General". Nampongeza mkuu wa majeshi kwa busara...
9 Reactions
78 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…