Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana. 1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye...
28 Reactions
109 Replies
12K Views
Nakumbuka chaguzi ndogo kuanzia Dr Lamwai enzi zile za Manzese hadi Dr Augustino Lyatonga Mrema nyakati za akina Cisco kule Temeke. Lakini siku hizi chaguzi ndogo zimedorora sana, mfano jana...
1 Reactions
1 Replies
597 Views
Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
"Mh. Rais Samia kama ambavyo nawasikia Viongozi wa CCM kwamba toka umeingia madarakani wana kauli yao wanasema umeupiga mwingi, kazi nzuri unayofanya Watanzania wanaiona tuna matumaini makubwa na...
3 Reactions
3 Replies
706 Views
Kumtemesha mtu tonge mdomoni au haki za watu anazo hodhi haijawahi kuwa bila mpambano. Maridhiano hayawezi kutokea mitandaoni. Tunayo ya kujifunza kutokea Zanzibar walikofanikiwa kuionja tamu na...
1 Reactions
0 Replies
761 Views
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357 Mpinzani wake, Mgombea wa ACT...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Haya maisha tunayo ishi hapa duniani ni mafupi Sana tuzingatie utu na kuishi na watu vizuri. Madaraka umeyapata hapa hapa Duniani hukuzaliwa nayo na huta kufa nayo utayaacha wengine wakiyatumia...
23 Reactions
222 Replies
10K Views
Kwa ufupi sana Jaji huyu Mustapha Mohamed Siyani aliapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma siku ya Ijumaa tarehe 20 April 2018, na Aliyekuwa Rais wa Tanzania wa awamu ya 5 Dr John...
10 Reactions
110 Replies
59K Views
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Ninawaza kwanini tanesco wasingeanza kutumia nguzo mpya za zege katika maeneo yote yaliyo kwenye mpango wa rea kuliko kuingia hizi gharama Mara mbili za nguzo.maeneo ya mijini wangefanya...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Kuna suala sijui la majengo 70 kila jimbo, sijajua lilianzia wapi lakini Spika wa Bunge Job Ndugai amesema Majimbo hayana tafsiri nzuri kuna majimbo yana kata mbili, huku mengine yakiwa na kata...
2 Reactions
0 Replies
672 Views
Mchoro wa katuni ulioandaliwa na msanii ndugu Mohammed Jumanne almaarufu Meddy kutoka Tanzania imechaguliwa kuwa Nembo ya Ushirikiano mpya kati ya Afrika na Ufaransa (New Africa-France Summit)...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
USHINDI WA KONDE;MBADALA WA CCM NI CHAMA KIPYA KUTOKA NDANI YA CCM. Na Chakat,Hapa Kazi Tu. Tanzania inapaswa kuwa na vyama vya siasa vinavyojitambua na vinavyojua wajibu wao katika kuleta...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeona sehemu fulani Waziri wa Tamisemi Mh Ummy Mwalimu akisitisha tozo ya maegesho ya magari kwa njia ya kielektroniki kutokana na malalamiko ya wengi kuzidi. Hiyo ni sehemu tu ya malalamiko...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika nchi ambayo iko Uchumi wa Kati, nchi ambayo hununua mijidege kwa malipo Taslimu, hizi ndizo shule zake zilizotapakaa kote nchini. Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
18 Reactions
136 Replies
7K Views
Kifo ni tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa...
56 Reactions
307 Replies
24K Views
Moja kwa moja kwenye hoja Tarehe 12/10/2021 , ni hukumu ya Kesi Kati ya Musiba na Benard Membe,,ikiwa Musiba atakutwa na hatia, itakuwa funzo kwa watu wengine kutukana watu kwa kuwa Wana backup...
17 Reactions
51 Replies
5K Views
Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 . Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika ...
52 Reactions
209 Replies
19K Views
Nimepigwa sana na kundi la vijana zaidi ya ishirini wa CCM wakiongozwa na Mbunge wa viti maalum CCM Mariam Ditopile. Nimepigwa mbele ya kituo cha polisi mbele ya polisi. Nilikwenda kuwadhamini...
26 Reactions
100 Replies
11K Views
Mimi ni mmoja kati ya watu waliokua wanaifatilia Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Mikoa ya kusini mwa Tanzania, Pamoja na kwamba Ziara nyingi za PM akiibuka sehemu hapakosi jambo au kumuacha mtu...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…