Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,165
- 4,581
Wakazi wa kijiji cha Kitewele chenye jamii za wafugaji,wavuvi na wakulima wilayani Ludewa mkoani Njombe wanadai kulazimika kusafirisha wagonjwa kwa machela za miti na mhanzi zaidi ya km 32 kunusuru maisha ya ndugu zao kutokana na barabara ambayo vyombo vya moto haviwezi kupita. https://t.co/XkvcjgLtQB