mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Yaliyomkuta aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mh.Kangi Lugola yakutumbuliwa na Aliyemteua ndio hayo hayo yaliyomkuta Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Mh.Sospeter Muhongo,tena wote wanatoka mkoa wa Mara.
Jana Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara amesema wanaandaa utaratibu wa kumwita Mh.Kangi Lugola ili ahojiwe kwanini ameuaibisha Mkoa wa Mara kwa kushindwa kumsaidia aliyemteua.
Swali langu kwanini Sospeter Muhongo hakuitwa wakati naye alishindwa kumsaidia aliyemteua na kuuahibisha mkoa wa Mara?Kwanini Kangi Lugola tu? Kama kweli CCM imechukizwa na Wabunge wake kutumbuliwa kwenye nafasi walizoteuliwa basi wote wahojiwe isiwe kwa Kangi Lugola tu.
Sent using Jamii Forums mobile app