Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,925
Mbinu za baadhi vyama tawala Afrika kubaki madarakani ni kama zifuatavyo.
A. Kuanzisha vyama feki vya upinzani vitakavyounga juhudi.
B. Kutumia dola kukandamiza chama kikuu cha upinzani
C. Kutumia mihimili mingine kukandamiza upinzani
D. Kununua wapinzani na kuonekana kuwa chama tawala kinakubalika
E. Kuvuruga chaguzi kubaki madarakani
F. Kutengeneza vyama mbadala vya kupambana na vyama halisi vya upinzani
G. Kutumia mali za umma na vyombo vya dola kubaki madarakani
H. Kuweka sheria kandamizi ili kunyang'anya uhuru wa mawazo, habari na haki nyingine za binadamu.
Ni jambo la kushukuru kwamba CCM hawajafikia hatua hizo. Tuendelee kuwaombea wabaki kwenye right track kuelekea kuifanya nchi yetu kuwa dona kantree