MAMA MARIA NYERERE AWAKABIDHI ZAWADI YA KIROBA CHA MAANDAZI WAPANDA BAISKELI.

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Hakika huyu mama ndiye mzalendo wa kweli hapa nchini.

Ingekuwa hawa wengine ndiyo angemwaga mabilioni kama zawadi maana anajichotea.

Mama Maria Nyerere leo amewakabidhi wapanda baiskeli wanao jiandaa kuendesha baiskeli kutoka dsm hadi Butiama.

Hiyo ni ktk kusherehekea miaka 22 ya kifo cha baba wa taifa na mzalendo wa kweli wa nchi hii.

Hao wengine walikuwa wanaigiza uzalendo wakati hawana hata asili ya uzalendo.
 
Hakika huyu mama ndiye mzalendo wa kweli hapa nchini.

Ingekuwa hawa wengine ndiyo angemwaga mabilioni kama zawadi maana anajichotea.

Mama Maria Nyerere leo amewakabidhi wapanda baiskeli wanao jiandaa kuendesha baiskeli kutoka dsm hadi Butiama.

Hiyo ni ktk kusherehekea miaka 22 ya kifo cha baba wa taifa na mzalendo wa kweli wa nchi hii.

Hao wengine walikuwa wanaigiza uzalendo wakati hawana hata asili ya uzalendo.View attachment 1961447
kila mtu anatoa anachoweza huwez kutoa ambacho huna try to see positive behind everything.
 
kila mtu anatoa anachoweza try to see positive behind everything
Hapana mkuu hapa ni tabia ya mtu na malezi ya familia husika.

Huyu mama hakosi fedha kama angekuwa ni mtu wa masifa kama wale wanao tembea na tv mkononi kisa misifa.
 
Back
Top Bottom