Makonda mgeni rasmi miaka 54 ya JWT. Aawataka JKT wasipige raia

Leo ameonekana RC wa Dsm Mhe. Paul Makonda akiwa pamoja na Mkuu wa Majeshi-CDF. Nauliza je CDF alimpigia salute RC? Mliokuwepo mtuambie walisalimiaje maana CDF anapotakiwa kuwepo inabidi awepo aliye mkuu zaidi ya RC mfano PM. Tusaidiane kwa hili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini usiamini uchawi upo!

Gerson Msigwa kaufyata

Kama hali itaendelea Kuwa hivi
Mpaka Jumatatu Basi Lemutuz atarudia kumwita Kwa lile jina la Commandant Field Mashal ambalo alilisitisha tangu Juzi
 
Leo ameonekana RC wa Dsm Mhe. Paul Makonda akiwa pamoja na Mkuu wa Majeshi-CDF. Nauliza je CDF alimpigia salute RC? Mliokuwepo mtuambie walisalimiaje maana CDF anapotakiwa kuwepo inabidi awepo aliye mkuu zaidi ya RC mfano PM. Tusaidiane kwa hili...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa na ufaham

CDF anampigia salute RC na DC
Hao ni wawakilishi wa Mamlaka ya Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya ULINZI na USALAMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda hatolewi pale
Usalama wa Taifa walijua kila kitu kilichomo kwenye makontena hata Mh mwenyewe alijua ila hakuona la kufanya

Usijilinganishe na Makonda
 
Back
Top Bottom