Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

Fundi Madirisha

Senior Member
Jun 30, 2020
184
987
Wanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea.

Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt ya nembo ya CHADEMA anaonekana mbaya sana. Yalikua hivi hivi kwa CUF ya enzi hizo. Polisi wanawazuia CHADEMA sasa kufanya mikutano ya ndani wakati CCM wanafanya, hawawataki kuona wakifanya Joging wakiwa wamevaa T-shirts zenye nembo za chama wakati CCM wao wanavaa.

Kimsingi iko siku polisi wanayoyafanya watakuja kuyajutia wenyewe, wanaacha PGO wanajitungia sheria zao kwa sababu tu wao ni polisi. Wanaogopa chama chenye wanachama milion 7 kasoro, watawakamata hadi lini?

Kwa haki kabisa Polisi wakae pembeni, wakurugenzi wakae pembeni halafu waache uchaguzi ufanyike ukiwa huru na wa haki tuone CCM itapata viti vingapi.CCM wanawatumia sana polisi lakini wakumbuke kua kuzuia haki hua ni ngumu.
 
Umeeleza Kwa hisia sana mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
POLISI mnachokifanya kwa Chadema kina Mwisho wake
 
Chadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia.
Chadema ni ile ya Akina lowasa na dr slaa
 
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia
Kwahiyo unashaur wavamie gereza wamtoe Mbowe? Pamoja na kuonewa unashaur waanzishe revenge? Toa suluhisho ambalo c la kuvunja sheria
 
Kama wanajiamini waendeleze mapambano. Ukisema wavamie Gereza huu ni ujinga ina maana hawawezi bila mbowe
 
Haya yote yana mwisho. Sema ni kama huwa hatuna imani. Fikiria enzi za mwendazake lakini yuko wapi sasa.
 
Chadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia.
Chadema ni ile ya Akina lowasa na dr slaa
Una masikio yanayojifurahisha kila siku kuna shughuli ya katiba mpya vijana bavicha wenye jukumu la katiba. Npya wapo kahana leo polisi wananenguwa viuono na wanawake ndio kudai katiba kwenyewe sasa hivi ccm ni polisi wacha wapambane na chadema maana ccm wameshakufa
 
Ccm haikushinda uchaguzi, bali ushirikiano wa kihalifu na polisi ndio umewaweka madarakani kwa shuruti. Kwakuwa ccm imeshapoteza ushawishi kwa umma, inabidi wahalifu wenzao ambao ni polisi ili kuwadhibiti Cdm. Ifahamike ccm ikibakia madarakani, inatoa mwanya kwa polisi kufaidika na mfumo wa rushwa na upigaji.

Hivyo ccm inaogopa kupoteza dola na ulaji, huku polisi wakihofia ccm ikitoka madarakani, yatafanyika mabadiliko makubwa yatakayohatarisha maslahi yao yanayopatikana kwa njia za rushwa.
 
Wanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea.

Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt ya nembo ya CHADEMA anaonekana mbaya sana. Yalikua hivi hivi kwa CUF ya enzi hizo. Polisi wanawazuia CHADEMA sasa kufanya mikutano ya ndani wakati CCM wanafanya, hawawataki kuona wakifanya Joging wakiwa wamevaa T-shirts zenye nembo za chama wakati CCM wao wanavaa.

Kimsingi iko siku polisi wanayoyafanya watakuja kuyajutia wenyewe, wanaacha PGO wanajitungia sheria zao kwa sababu tu wao ni polisi. Wanaogopa chama chenye wanachama milion 7 kasoro, watawakamata hadi lini?

Kwa haki kabisa Polisi wakae pembeni, wakurugenzi wakae pembeni halafu waache uchaguzi ufanyike ukiwa huru na wa haki tuone CCM itapata viti vingapi.CCM wanawatumia sana polisi lakini wakumbuke kua kuzuia haki hua ni ngumu.
Yaani mchukue nchi kupitia chama cha kikabila, polisi lazima wawashughulikie maana hamna nia njema na amani ya nchi
 
Wanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea.

Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt ya nembo ya CHADEMA anaonekana mbaya sana. Yalikua hivi hivi kwa CUF ya enzi hizo. Polisi wanawazuia CHADEMA sasa kufanya mikutano ya ndani wakati CCM wanafanya, hawawataki kuona wakifanya Joging wakiwa wamevaa T-shirts zenye nembo za chama wakati CCM wao wanavaa.

Kimsingi iko siku polisi wanayoyafanya watakuja kuyajutia wenyewe, wanaacha PGO wanajitungia sheria zao kwa sababu tu wao ni polisi. Wanaogopa chama chenye wanachama milion 7 kasoro, watawakamata hadi lini?

Kwa haki kabisa Polisi wakae pembeni, wakurugenzi wakae pembeni halafu waache uchaguzi ufanyike ukiwa huru na wa haki tuone CCM itapata viti vingapi.CCM wanawatumia sana polisi lakini wakumbuke kua kuzuia haki hua ni ngumu.
Umeusema ukweli wote
 
Back
Top Bottom