Ana Makinda aliweza kuwa kiongozi wa Bunge

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,288
2,000
Pichani nimeweka mh Lissu akisakata rumba na mama Anna Makinda.

Ndani ya bunge spika Makinda alikuwa mkali sana lakini alikuwa na heshima na hekima.

Nje ya jengo la bunge alikuwa ni mtazania wa kawaida kabisa kutoka njombe.

Siyo bunge tunalo liona sasa la kuongozwa kwa hasira na vitisho kila kukicha.

Screenshot_20211005-095515.jpg
 
Tr Paul

Senior Member
Mar 18, 2020
145
225
Pichani nimeweka mh Lissu akisakata rumba na mama Anna Makinda.

Ndani ya bunge spika Makinda alikuwa mkali sana lakini alikuwa na heshima na hekima.

Nje ya jengo la bunge alikuwa ni mtazania wa kawaida kabisa kutoka njombe.

Siyo bunge tunalo liona sasa la kuongozwa kwa hasira na vitisho kila kukicha.

View attachment 1963470
Picha huwa mnazipatia wapi ? it's always my question, otherwise nimependa sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom