Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,015
Hamjambo ndugu zangu?

Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL

Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?

Nitawasilisha.
 
Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.

Umbea. Ujumbe wake wa bodi mbalimbali unaweza kumpatia hizo hela. Na ukumbuke huyo ni
Mfanyakazi wa siku nyingi serikalini kwa vyeo vya juu hivyo unaweza kuta alikuwa ana save au kakopa.
 
Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
ni maeneo yake alinunua toka 200x.Hiyo Nyumba Chunguza ni plot yake alipaga mtoto wa Ndugu yake alijenga hiyo Nyumba na amefariki so ameichukuwa hiyo nyumba kodi analipia ada watoto wa marehemu.Kuwa makini siku nyingine kabla ujapost kitu.Je unaweza weka copy ya nyaraka za kuuziana hizo sehem hapa??
 
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
cosbyhmm.png

Kazitoa wapi?
 
Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Mbali ya ujumbe wa Bodi mbalimbali pia amekuwa Mtumishi kwa muda mrefu na pengine ana miradi halali inayomuingizia kipato N.K.
By the way do you still believe and wish people to be 100% Cl..... My friend it's all about gaining from whatever opportunities that comes your way as long as one can jump in. Go for it and grab yours !!!!
 
Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Kuhusu hilo la milioni 900 sina ushahidi nalo.....

Ila.....

Mh.mama Anna Makinda ameanza kuwa mtumishi wa umma toka miaka ya nyuma na MSICHOKIJUA ni kuwa mh.Makinda ni MBANA MATUMIZI KWELIKWELI.....na mwekezaji wa KILIMO ,na vibiashara vingi vidogovidogo toka miaka ya 90......kwa hulka na tabia zake hizo sishangai akiweza kununua NYUMBA YA GHARAMA KUBWA KIDOGO..........

My take:

Tupende kuutafuta ukweli kabla ya KUWACHAFUA WAZEE WETU....WAMELITUMIKIA TAIFA HILI KWA UZALENDO MKUBWA....WAACHWE WAPUMZIKE...

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
huyo mama ana channel nyingi sana za kipato, pia mafao yake katika ngazi mbali mbali za uongozi, hakuwa mtumiaji wa kuonekanaa sasa muda umewadia wa kujifunua matumizi

ata hii huenda amecheza step vibaya taarifa zikavujaa
 
Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Inategemea kama Ana vyanzo vingine kama vile mashamba ya miti , kilimo nk
 
Back
Top Bottom