Kwa mbinu hii MATAGA mmefanikiwa mbele ya BAVICHA

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,738
15,208
Hivi ni nani aliwaambia Bavicha kuwa MATAGA hawamtaki mama?

Naona wameingia kichwachwa kwamba ccm hawamtaki mama hivyo wanadhani wakimshangilia sana mama basi watakuwa wameuwa legacy ya Magufuli bila kujua kuwa mama mwenyewe ni legacy ya Magufuli

Hiyo ni mbinu ya kurudi nyuma na kutengeneza V huwa inatumiwa sana hata kwenye vita, yani mnarudi nyuma kama mmeshindwa alafu adui anaingia ndani ya fensi.

Hii mbinu iliyobuniwa na MATAGA ya kuwaingiza mkenge BAVICHA wote mhamie ccm na kusifia alafu mwishoni mwa 2025 mfyatuliwe wote.

Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lissu maana 2025 hana chake tena.

CCM itaendelea kupeta.

CHADEMA wote wanashangilia na kuitaja CCM kwa siku mara nyingi zaidi kuliko wanavyoitaja CHADEMA.

Hongereni sana MATAGA kwa kubuni mbinu hii mtashinda kila kitu kirahisi sana.
 
Ona hii ng'ombe ya gaidi mwendazake inavyohangaika na Chadema kila ikiamka😬😬

Eti mama ni legacy ya bumunda. Wewe ulisikia wapi?
Ujue unawaumiza mataga wenzako ukiwaambia mama ni legacy ya yule mjinga....?
Kupitia utawala wa mama utadhani mwendazake alifia kwenye vita vya majimaji🤣🤣🤣
 
Hivi ni nani aliwaambia Bavicha kuwa MATAGA hawamtaki mama?

Naona wameingia kichwachwa kwamba ccm hawamtaki mama hivyo wanadhani wakimshangilia sana mama basi watakuwa wameuwa legacy ya Magufuli bila kujua kuwa mama mwenyewe ni legacy ya Magufuli

Hiyo ni mbinu ya kurudi nyuma na kutengeneza V huwa inatumiwa sana hata kwenye vita, yani mnarudi nyuma kama mmeshindwa alafu adui anaingia ndani ya fensi.

Hii mbinu iliyobuniwa na MATAGA ya kuwaingiza mkenge BAVICHA wote mhamie ccm na kusifia alafu mwishoni mwa 2025 mfyatuliwe wote.

Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lissu maana 2025 hana chake tena.

CCM itaendelea kupeta.

CHADEMA wote wanashangilia na kuitaja CCM kwa siku mara nyingi zaidi kuliko wanavyoitaja CHADEMA.

Hongereni sana MATAGA kwa kubuni mbinu hii mtashinda kila kitu kirahisi sana.
Uzi wa kijinga huu wanademokrasia huu uzi hauna nafasi.
 
Ona hii ng'ombe ya gaidi mwendazake inavyohangaika na Chadema kila ikiamka 😄😄

Eti mama ni legacy ya bumunda. Wewe ulisikia wapi?
Ujue unawaumiza mataga wenzako ukiwaambia mama ni legacy ya yule mjinga.... Kupitia utawala wa mama utadhani mwendazake alifia kwenye vita vya majimaji
Kwani unadhani 2025 mtampinga mama tena kwa lipi?
Aidha muwe wachawi tu
 
Hivi ni nani aliwaambia Bavicha kuwa MATAGA hawamtaki mama?

Naona wameingia kichwachwa kwamba ccm hawamtaki mama hivyo wanadhani wakimshangilia sana mama basi watakuwa wameuwa legacy ya Magufuli bila kujua kuwa mama mwenyewe ni legacy ya Magufuli

Hiyo ni mbinu ya kurudi nyuma na kutengeneza V huwa inatumiwa sana hata kwenye vita, yani mnarudi nyuma kama mmeshindwa alafu adui anaingia ndani ya fensi.

Hii mbinu iliyobuniwa na MATAGA ya kuwaingiza mkenge BAVICHA wote mhamie ccm na kusifia alafu mwishoni mwa 2025 mfyatuliwe wote.

Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lissu maana 2025 hana chake tena.

CCM itaendelea kupeta.

CHADEMA wote wanashangilia na kuitaja CCM kwa siku mara nyingi zaidi kuliko wanavyoitaja CHADEMA.

Hongereni sana MATAGA kwa kubuni mbinu hii mtashinda kila kitu kirahisi sana.
Urais tutampa mama ubunge bavicha,kuwa na mbunge kama gwajima ni matusi
 
MATAGA mnateseka sana, hamtaki CHADEMA wamsifie mama, mnataka wote tuungane na mataga kumnanga Mama. chadema ni chama makini. ukifanya vibaya wanakuzingua kama walivyomzingua yule Ibilisi, ukifanya vizuri wanakupa ushirikiano kama wanavyompa mama sasa hivi. tatizo la mataga hawaamini kama jiwe hatunae tena, wanahisi kalala tu na kesho ataibuka kuendeleza kijiti. mama akifanya vizuri tumpongeze, akizingua azinguliwe. hatuwezi kumchukia mama kwa vile anafanya mambo ya haki sana
 
Ona hii ng'ombe ya gaidi mwendazake inavyohangaika na Chadema kila ikiamka 😄😄

Eti mama ni legacy ya bumunda. Wewe ulisikia wapi?
Ujue unawaumiza mataga wenzako ukiwaambia mama ni legacy ya yule mjinga.... Kupitia utawala wa mama utadhani mwendazake alifia kwenye vita vya majimaji
wazazi wake waliuza ng'ombe wakapeleka ng'ombe nyingine shule
 
Ona hii ng'ombe ya gaidi mwendazake inavyohangaika na Chadema kila ikiamka 😄😄

Eti mama ni legacy ya bumunda. Wewe ulisikia wapi?
Ujue unawaumiza mataga wenzako ukiwaambia mama ni legacy ya yule mjinga.... Kupitia utawala wa mama utadhani mwendazake alifia kwenye vita vya majimaji
Bumunda uchwara :)
 
Ona hii ng'ombe ya gaidi mwendazake inavyohangaika na Chadema kila ikiamka

Eti mama ni legacy ya bumunda. Wewe ulisikia wapi?
Ujue unawaumiza mataga wenzako ukiwaambia mama ni legacy ya yule mjinga....?
Kupitia utawala wa mama utadhani mwendazake alifia kwenye vita vya majimaji
Haaa haaaaa haaaaa wee jamaaa NG'OMBE YA GAIDI ATIIIIIIIII......
 
Back
Top Bottom