Tanzania seeks World Bank support for Covid effort, balance of payments

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
Tanzania seeks World Bank support for Covid effort, balance of payments
SATURDAY OCTOBER 02 2021

Summary
In a meeting in Dodoma September 28, President Samia Suluhu held talks with the World Bank’s Regional Vice President for Eastern and Southern Africa, Hafez Ghanem, and discussed her government’s focus on improving education, health and women empowerment.
This was a follow up of a meeting President Samia held with the World Bank Group’s President David Malpass in New York during the 76th session of the United Nations General Assembly.

This year, the IMF approved $567.25 million in emergency financial assistance under the Rapid Credit Facility and Rapid Financing Instrument to support its efforts in responding to the pandemic by addressing the urgent health, humanitarian, and economic costs.

By LUKE ANAMI
More by this Author

Tanzania has reached out to the World Bank for support to the country’s efforts to mitigate the impact of Covid-19 and access to vaccines.

Briefing Dr Ghanem on her government’s priorities in the Tuesday meeting, President Samia said; “We are currently reviewing our tax policies in consultation with stakeholders in order to improve the business environment and attract investment.”

“We are also in the process of strengthening the private sector so that it can compete and contribute to employment in the country,” she added.

She also spoke about efforts to enhance information and increase efficiency through use of ICT.

Related
The International Monetary Fund.
IMF approves $567 million financing for Tanzania
A vendor
IMF raises red flag over Tanzania’s bleak economic outlook
Hospital.
Rwanda tops region in IMF debt relief
Covax

Regional states get $3.2b IMF support for relief from Covid shocks
Ghanem was upbeat about the collaboration in various development projects and women empowerment. “We are also ready and willing to work with the government of Tanzania in the procurement of Covid-19 vaccines, dissemination of information and create public awareness and encourage more people to get a Covid-19 vaccination.”

This is Ghanem’s second to Tanzania as World Bank vice president.

Improving efficiency
According to World Bank data, Covid-19 has negatively impacted Tanzania’s macroeconomic outlook, and negatively impacted its population’s health and wellbeing. The economy decelerated to 4.8 percent growth in 2020, and growth is expected to remain subdued in 2021.

During the meeting in New York with the World Bank president, the bank affirmed its willingness to support vaccines procurement for Tanzania, uptake and deployment through its International Development Assistance.

Malpass also lauded Tanzania’s efforts to improve the business environment and facilitate private sector-led growth through reforms.

He stressed the importance of electricity access, affordable housing, and digital infrastructure to improve efficiency and access competitive markets, and also emphasised the importance of debt transparency, and encouraged careful selection of investment programmes.

The IMF has responded to the Covid-19 crisis by deploying financial assistance, policy advice and creating special tools to assist member countries.

This financing would help finance Tanzania’s urgent balance of payment needs stemming from the outbreak of Covid-19.

The resources are also expected to play a catalytic role in their efforts to mobilise additional support from development partners.

brazaj
 
. “We are also ready and willing to work with the government of Tanzania in the procurement of Covid-19 vaccines, dissemination of information and create public awareness and encourage more people to get a Covid-19 vaccination.”
kopeni tu mkapige 10% zenu.....michanjo isiyo na maelekezo ya mtumiaji hata ikimwagwa kuna shida gani, deni watalipa hadi vitukuu! Askofu Gwajima ulikuwa sahihi Baba, hawa wakubwa zetu wana njaa na cha juu na sio kuwakinga maradhiwapiga kura wao.
IFM mliombwa kutusamehe madeni yenu ili hizo pesa tukazibe madhara ya kiuchumi yaliyotokana na covid-19 badala yake mnatudanganya tukope mkopo juu ya mkopo!
 
Tanzania seeks World Bank support for Covid effort, balance of payments
SATURDAY OCTOBER 02 2021

Summary
In a meeting in Dodoma September 28, President Samia Suluhu held talks with the World Bank’s Regional Vice President for Eastern and Southern Africa, Hafez Ghanem, and discussed her government’s focus on improving education, health and women empowerment.
This was a follow up of a meeting President Samia held with the World Bank Group’s President David Malpass in New York during the 76th session of the United Nations General Assembly.

This year, the IMF approved $567.25 million in emergency financial assistance under the Rapid Credit Facility and Rapid Financing Instrument to support its efforts in responding to the pandemic by addressing the urgent health, humanitarian, and economic costs.

By LUKE ANAMI
More by this Author

Tanzania has reached out to the World Bank for support to the country’s efforts to mitigate the impact of Covid-19 and access to vaccines.

In a meeting in Dodoma September 28, President Samia Suluhu held talks with the World Bank’s Regional Vice President for Eastern and Southern Africa, Hafez Ghanem, and discussed her government’s focus on improving education, health and women empowerment.

This was a follow up of a meeting President Samia held with the World Bank Group’s President David Malpass in New York during the 76th session of the United Nations General Assembly.

Briefing Dr Ghanem on her government’s priorities in the Tuesday meeting, President Samia said; “We are currently reviewing our tax policies in consultation with stakeholders in order to improve the business environment and attract investment.”

“We are also in the process of strengthening the private sector so that it can compete and contribute to employment in the country,” she added.

She also spoke about efforts to enhance information and increase efficiency through use of ICT.

Related
The International Monetary Fund.
IMF approves $567 million financing for Tanzania
A vendor
IMF raises red flag over Tanzania’s bleak economic outlook
Hospital.
Rwanda tops region in IMF debt relief
Covax

Regional states get $3.2b IMF support for relief from Covid shocks
Ghanem was upbeat about the collaboration in various development projects and women empowerment. “We are also ready and willing to work with the government of Tanzania in the procurement of Covid-19 vaccines, dissemination of information and create public awareness and encourage more people to get a Covid-19 vaccination.”

This is Ghanem’s second to Tanzania as World Bank vice president.

Improving efficiency
According to World Bank data, Covid-19 has negatively impacted Tanzania’s macroeconomic outlook, and negatively impacted its population’s health and wellbeing. The economy decelerated to 4.8 percent growth in 2020, and growth is expected to remain subdued in 2021.

During the meeting in New York with the World Bank president, the bank affirmed its willingness to support vaccines procurement for Tanzania, uptake and deployment through its International Development Assistance.

Malpass also lauded Tanzania’s efforts to improve the business environment and facilitate private sector-led growth through reforms.

He stressed the importance of electricity access, affordable housing, and digital infrastructure to improve efficiency and access competitive markets, and also emphasised the importance of debt transparency, and encouraged careful selection of investment programmes.

The IMF has responded to the Covid-19 crisis by deploying financial assistance, policy advice and creating special tools to assist member countries.

This year, the IMF approved $567.25 million in emergency financial assistance under the Rapid Credit Facility and Rapid Financing Instrument to support its efforts in responding to the pandemic by addressing the urgent health, humanitarian, and economic costs.

This financing would help finance Tanzania’s urgent balance of payment needs stemming from the outbreak of Covid-19.

The resources are also expected to play a catalytic role in their efforts to mobilise additional support from development partners.

brazaj

This is interesting:

"Covid-19 has negatively impacted Tanzania’s macroeconomic outlook, and negatively impacted its population’s health and wellbeing."

The government has never been concerned with the population's health or wellbeing:

1. There has not been any relief to the population following the pandemic.
2. The government has never acknowledged covid-19 as a pandemic.
3. Taxes on the population (not the top officials) continue increasing unabated.
4. The population faces covid-19 in medical expenses unsupported.
5. The same government officials who downplayed covid-19, continue occupying the same offices.

IMG-20210725-WA0007.jpg

6. The pandemic statistics aren't provided.
7. No measures are in place to curb the spread of the disease.

The urge for loans by the Samia government is not for alleviation against any covid-19 effects. The health wellbeing of the people is not her priority but the post 2025 presidency.

In order to get money to facilitate her presidential campaign, vaccination to her is politics.

For the money she will say anything.
 
Unatakiwa uweke msisitizo hapo waliposema previous government haikuzingatia athari za Uchumi za covid 19 kwenye afya na sekta zilizoathirika.

Hao ndio wametufikisha hapa na isingekuwa kupanda kwa bei ya dhahabu kilio kingekuwa kikubwa zaidi.

Aahukutiwe Mungu maana
 
328327F5-C952-4137-B97A-C6C5217237E1.jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
This is interesting:

"Covid-19 has negatively impacted Tanzania’s macroeconomic outlook, and negatively impacted its population’s health and wellbeing."

The government has never been concerned with the population's health or wellbeing:

1. There has not been any relief to the population following the pandemic.
2. The government has never acknowledged covid-19 as a pandemic.
3. Taxes on the population (not the top officials) continue increasing unabated.
4. The population faces covid-19 in medical expenses unsupported.
5. The same government officials who downplayed covid-19, continue occupying the same offices.

View attachment 1963194

6. The pandemic statistics aren't provided.
7. No measures are in place to curb the spread of the disease.

The urge for loans by the Samia government is not for alleviation against any covid-19 effects. The health wellbeing of the people is not her priority but the post 2025 presidency.

In order to get money to facilitate her presidential campaign, vaccination to her is politics.

For the money she will say anything.
Amka wewe zama zimebadilika.Kwa ulivyo mjinga sijui hata kama umesoma hiyo article au unasoma darasa la uongozi la Polepole..

Ushaambiwa BOP haiko sawa imepungua partly ni Kwa sababu ya sekta ya utalii kuanguka na kupanda Kwa bei hususani Mafuta kwenye solo la Dunia .

Pia kumbuka Tzn ni net importer wa olmost Kila kitu na hizo imports zinahitaji fedha za kigeni na fedha za kigeni ni kiduchu na zinazidi kupungua kwa hiyo bila mkopo hapo wa kuimarisha reserves ya fedha za kigeni uchumi utaanguka na fedha ya madafu will be useless,itakuwa kama Zimbabwe.

Sasa propaganda zako za kijinga sijui zinasaidia nini,tukazane kuchanja at least ifike 10% hapo Mataifa yanayoleta watalii watuondoe kwenye msitari mwekundu tupate fedha za kigeni.
 
Article nimeisoma vyema na ndiyo maana nikaijibu kikamilifu na kwa lugha yake. Au niandike yale yale kwa kiswahili sasa upate kunisoma?

Hivi serikali hii:

1. Imewahi kutamka au hata kutambua kuwa Corona ni janga la taifa?
2. Inatambua kuwa wahanga wa ugonjwa huu wameathirika vipi nao?
3. Imetoa afueni zipi kwa wananchi wahanga wa ugonjwa huu?
4. Imefanya tathmini au hata kuwaorodhesha tu walioathirika zaidi na ugonjwa huu?
5. Si kuwa imewatelekezea janga wananchi, ikajiweka pembeni kuwa haihusiki ila kwenye kuwakamua kodi na tozo kweri kweri?

IMG_20210824_125202_848.jpg

6. Hizi kodi na tozo na kodi zinazoongezwa kwa wananchi wa kawaida lakini si kwa vigogo zina ufahamu wowote wa walioathirika vilivyo na ugonjwa huu?
7. Hatua zipi zilizopo kwenye kudhihibiti maambukizi ya ugonjwa huu hata usiowajua tu?
8. Takwimu za ugonjwa huu ziko wapi?
9. Hadaa za vita vya uchumi, njama za mabeberu, upigaji wa pesa zetu wa wazungu nk viliishia wapi?
10. Mambo ya nyungu, maombi na mazaga zaga yake huku tukipoteza watu yaliishia wapi?
11. Yako lukuki hadi yanatia kinyaa!

Mikopo na tozo zote hizi, mlipaji ni sisi ili chawa uchwara nyie mdai ni Samia kajenga?!

Mikopo na tozo zote hizi, mlipaji sisi ili chawa uchwara nyie mdai Samia ni mpango wa Mungu hadi 2030?!

IMG_20211005_084632_340.jpg

Hizi si kampeni tu kwa ajili ya 2025?

Wajinga nyie mnadhani nani hawaoni? Hamna uzalendo, uchungu wowote na nchi wala mtu yeyote zaidi ya matumbo yenu.

Mngekuwa mnajali, hawa wangepotelea mikononi mwenu?

IMG_20210930_170832_807.jpg

Huu hapa ni uzi wako:

Serikali kujenga madarasa mapya manne katika kila shule ya Sekondari ya Serikali. Watoto wote 1M kuanza shule Januari 2022

Agenda uchwara zenu hizi pelekeni Chatto na Makunduchi ambako mmejenga viwanja vya ndege wanakopumzikia mbuzi.

Kwani nani asiyewajua?

IMG_20211004_150742_609.jpg
 
Article nimeisoma vyema na ndiyo maana nikaijibu kikamilifu na kwa lugha yake. Au niandike yale yale kwa kiswahili sasa upate kunisoma?

Hivi serikali hii:

1. Imewahi kutamka au hata kutambua kuwa Corona ni janga la taifa?
2. Inatambua kuwa wahanga wa ugonjwa huu wameathirika vipi nao?
3. Imetoa afueni zipi kwa wananchi wahanga wa ugonjwa huu?
4. Imefanya tathmini au hata kuwaorodhesha tu walioathirika zaidi na ugonjwa huu?
5. Si kuwa imewatelekezea janga wananchi, ikajiweka pembeni kuwa haihusiki ila kwenye kuwakamua kodi na tozo kweri kweri?

View attachment 1963393

6. Hizi kodi na tozo na kodi zinazoongezwa kwa wananchi wa kawaida lakini si kwa vigogo zina ufahamu wowote wa walioathirika vilivyo na ugonjwa huu?
7. Hatua zipi zilizopo kwenye kudhihibiti maambukizi ya ugonjwa huu hata usiowajua tu?
8. Takwimu za ugonjwa huu ziko wapi?
9. Hadaa za vita vya uchumi, njama za mabeberu, upigaji wa pesa zetu wa wazungu nk viliishia wapi?
10. Mambo ya nyungu, maombi na mazaga zaga yake huku tukipoteza watu yaliishia wapi?
11. Yako lukuki hadi yanatia kinyaa!

Mikopo na tozo zote hizi, mlipaji ni sisi ili chawa uchwara nyie mdai ni Samia kajenga?!

Mikopo na tozo zote hizi, mlipaji sisi ili chawa uchwara nyie mdai Samia ni mpango wa Mungu hadi 2030?!

View attachment 1963392

Hizi si kampeni tu kwa ajili ya 2025?

Wajinga nyie mnadhani nani hawaoni? Hamna uzalendo, uchungu wowote na nchi wala mtu yeyote zaidi ya matumbo yenu.

Mngekuwa mnajali, hawa wangepotelea mikononi mwenu?

View attachment 1963403

Huu hapa ni uzi wako:

Serikali kujenga madarasa mapya manne katika kila shule ya Sekondari ya Serikali. Watoto wote 1M kuanza shule Januari 2022

Agenda uchwara zenu hizi pelekeni Chatto na Makunduchi ambako mmejenga viwanja vya ndege wanakopumzikia mbuzi.

Kwani nani asiyewajua?

View attachment 1963396
Serikali ipi unayoizujgumzia wewe? Amka tuko awamu ya sita sio ya Mwendazake
 
Korona ipo Tanzania, hasa kwenye majiji. Lakini siyo kweli kuwa tuko mahututi kiasi cha kuomba misaada. Hali ya hewa ya Tanzania hai-support sana virusi vya korona. Kwa hiyo nawashangaa sana wanaotumia korona kuomba misaada. Niliwahi kusoma gazeti moja la Uganda ndugu wakibomoa jeneza la mhanga wa korona na kukuta liko tupu, ila viongozi walitaka kuonyesha kuwa korona ni janga tupewe misaada.

Tabia ya ombaomba ni mbaya sana, nitamkumbuka JPM kwa kutukumbusha kujenga tabia ya kujitegemea badala ya kuwa ombaomba kila siku.
 
unataka kuniambia hali ya hewa ya nchi zenye majangwa huko zinasapoti korona? kama ni joto hata sudan lipo kilichopo ni kwamba kisaikolojia magufuli aliwajenga watu kutoa uoga ndicho kinachosaidia
 
nchi ambazo hazipati mwanga wa jua wa kutosha wa vitamin D huathirika sana na Korona; tatizo siyo joto bali ile mionzi inayojenga vitamin D. Tanzania hatuna tatizo hizlo, kwa hiyo madhara ya korona kwetu siyo makubwa sana ingawa ni lazima tujiepushe.

Unaweza kukuta Sudan nayo inatumia korona kutaka kuomba misaada tu. Kijijini kwenu ni wangapi wamekufa kwa korona kama siyo namba unazomabiwa kutoka kwenye majiji tu.
 
Korona ipo Tanzania, hasa kwenye majiji. Lakini siyo kweli kuwa tuko mahututi kiasi cha kuomba misaada. Hali ya hewa ya Tanzania hai-support sana virusi vya korona. Kwa hiyo nawashangaa sana wanaotumia korona kuomba misaada. Niliwahi kusoma gazeti moja la Uganda ndugu wakibomoa jeneza la mhanga wa korona na kukuta liko tupu, ila viongozi walitaka kuonyesha kuwa korona ni janga tupewe misaada.

Tabia ya ombaomba ni mbaya sana, nitamkumbuka JPM kwa kutukumbusha kujenga tabia ya kujitegemea badala ya kuwa ombaomba kila siku.

Bila takwimu sahihi statement yako hii

"Lakini siyo kweli kuwa tuko mahututi.."

inakuwa sawa na gunia tupu lisilo weza kusimama.

#COVID19 - Waziri Gwajima, takwimu za Covid-19 mnaandaa au mnapika?

Umewahi kujiuliza kwa nini takwimu hazipo?

Walioguswa kisawa sawa na gonjwa hili kiuchumi na kupotelewa wapendwa kwa statement hiyo watakuona kama unawacheza shere tu.

Kuna familia wameamka na kujikuta ni yatima overnight.

Sadly hata serikali haijali!
 
Takwimu zinatokana na sisi wenyewe; niambie wewe kijijini kwenu ni wangapi wamekufa kwa changamoto za kupumua. Data za kwenye majiji hasa Dar na Arusha siyo representation ya nchi yote. Majiji yana watu chini ya asilimia 30 ya nchi yote. Mimi ninajua kuwa tarafa yetu yote hakuna mtu aliyekufa kutokana na changamaoto za kupumua.
 
Takwimu hazipatikani hivyo labda kama ni jitihada za kujitoa ufahamu tu.

Ninawafahamu wengi kwa majina waliokufa kwa changamoto za kupumua:

Vifo mfululizo vyatikisa mji wa Moshi

Achilia mbali hawa:

Corona: Orodha ya wahanga, sampuli

Kwanini takwimu sahihi haziwezi kutolewa? Wewe hujiulizi tu?
 
Back
Top Bottom