Kasi ya utendaji ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa inatufuta machozi wazalendo

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
1,336
2,000
UTENDAJI KAZI: MAJALIWA KASSIM MAJALIWA

Tarehe 10/4/2021 anafanya ziara kukagua ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere lililopo Rufiji na kuwaahidi Watanzania kuwa ujenzi utaendelea kama kawaida na kumalizika kwa muda uliopangwa.

Tarehe 19/4/2021 anakwenda kuukagua mradi wa mabasi ya mwendokasi baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wananchi juu ya Ufanisi wa mradi huo, anakuta utendaji ni mbovu anamsimamisha kazi mkurugenzi wa fedha wa mradi huo Susana Steven Chaula.

Tarehe 19/4 /2021 anakwenda kukagua bandari ya nchi kavu Ubungo Baada ya magari ya mizigo kukwama kwa zaidi ya siku tatu..anafanya mazungumzo na madereva pamoja na watendaji wa bandari

Tarehe 19/4/2021 anafanya ziara kiwanda cha kuunganisha magari cha GFA kilichopo Kibaha, Pwani. Anawahakikishia wawekezaji hao kuwa Vijana wa kitanZania ni waaminifu. Siku kadhaa baada ya Spika wa bunge kunukuliwa akisema vijana wa Kitanzania SIO waaminifu.

Tarehe 21/4/2021 anaenda kukagua ujenzi wa stesheni ya Treni ya umeme iliyopo Pugu Dar, anasema "Mradi utaenda kama JPM alivyoahidi.."

Tarehe 20/5/2021 anafanya ziara Tanesco. Anazungumza na uongozi wa Tanesco kuhusu tatizo lililojitokeza katika ununuaji wa LUKU lililopelekea wananchi washindwe kununua LUKU siku tatu mfululizo, anaamuru meneja Tehama na wenzake waendelee kukaa pembeni kupisha uchunguzi.

Tarehe 28/5/2021 anafanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha, anakuta watendaji wa wizara hiyo wakijilipa posho ya zaidi ya billioni 1.6 kwa kazi zisizochukua hata nusu saa, anawasimamisha kazi watendaji wakuu saba.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
7,569
2,000
Ndugu yangu Kinuju,PREMIER tunaye.....

Waziri Mkuu tunaye watanzania.....

PM jembe hasa jamani....

Mh.KM anafit haswaaa......

********************
SAUTI YA KIMAMLAKA ,MAAMUZI YA KIMAMLAKA .....

Aaaagh Mh.Kassim Majaliwa anatupa raha sisi WANYONGE 👍👊👊👊👊
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,584
2,000
UTENDAJI KAZI: MAJALIWA KASSIM MAJALIWA

Tarehe 10/4/2021 anafanya ziara kukagua ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere lililopo Rufiji na kuwaahidi Watanzania kuwa ujenzi utaendelea kama kawaida na kumalizika kwa muda uliopangwa.

Tarehe 19/4/2021 anakwenda kuukagua mradi wa mabasi ya mwendokasi baada ya malalamiko mengi kutoka
Tatizo ni bosi wake too slow....too dhaifu
 
Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
12,846
2,000
Kiukweli nimekuwa nafikiri kuwa huyu ndie aliepangwa kufuata 2025.

Anafaa kwani atasimamia ilani na CCM kikamilifu na kuhakikisha miradi yote ya kimkakati inakamilika kama ilivyopangwa.

Kama kweli CCM inataka kutoka 2025 basi tayari wanae rais baada ya mama Samia.

La sivyo, bila polisi na vyombo vya dola CCM ni rahisi sana kushindwa uchaguzi maana watanzania wanasubiria na bakora zao tayari kuwapa wapinzani kura zote kwa asilimia zote.

Ila hiyo itatokea endapo tu wapinzani watacheza uzuri karata zao.

Wengine sie tupo twaangalia tu.
 
AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
1,927
2,000
UTENDAJI KAZI: MAJALIWA KASSIM MAJALIWA

Tarehe 10/4/2021 anafanya ziara kukagua ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere lililopo Rufiji na kuwaahidi Watanzania kuwa ujenzi utaendelea kama kawaida na kumalizika kwa muda uliopangwa.

Tarehe 19/4/2021 anakwenda kuukagua mradi wa mabasi ya mwendokasi baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wananchi juu ya Ufanisi wa mradi huo, anakuta utendaji ni mbovu anamsimamisha kazi mkurugenzi wa fedha wa mradi huo Susana Steven Chaula.

Tarehe 19/4 /2021 anakwenda kukagua bandari ya nchi kavu Ubungo Baada ya magari ya mizigo kukwama kwa zaidi ya siku tatu..anafanya mazungumzo na madereva pamoja na watendaji wa bandari

Tarehe 19/4/2021 anafanya ziara kiwanda cha kuunganisha magari cha GFA kilichopo Kibaha, Pwani. Anawahakikishia wawekezaji hao kuwa Vijana wa kitanZania ni waaminifu. Siku kadhaa baada ya Spika wa bunge kunukuliwa akisema vijana wa Kitanzania SIO waaminifu.

Tarehe 21/4/2021 anaenda kukagua ujenzi wa stesheni ya Treni ya umeme iliyopo Pugu Dar, anasema "Mradi utaenda kama JPM alivyoahidi.."

Tarehe 20/5/2021 anafanya ziara Tanesco. Anazungumza na uongozi wa Tanesco kuhusu tatizo lililojitokeza katika ununuaji wa LUKU lililopelekea wananchi washindwe kununua LUKU siku tatu mfululizo, anaamuru meneja Tehama na wenzake waendelee kukaa pembeni kupisha uchunguzi.

Tarehe 28/5/2021 anafanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha, anakuta watendaji wa wizara hiyo wakijilipa posho ya zaidi ya billioni 1.6 kwa kazi zisizochukua hata nusu saa, anawasimamisha kazi watendaji wakuu saba.
Majaliwa ndiye ajaye bila shaka. Kwa sasa ni kama hatuna Rais vile.
 
50thebe

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
3,004

Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara ajaye baada ya Mzee Mangula?
(Zingatia kiulizo ?)
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,139
2,000
Mkuu ni akina nani wazalendo peke yao ?!!
Wazalendo wa kweli ni kama mimi ambao tunaichukia ccm kutoka moyoni kwa kuendekeza kwake vitendo vya ufisadi, uhujumu uchumi, ujangili, uuzaji wa nyumba za serikali, matumizi mabaya ya madaraka, wizi, ubaguzi, upendeleo, na kila aina ya uovu! Huku nchi ikipiga hatua ya kimaendeleo kwa kusuasua!

Isingekuwepo ccm, huenda nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Haiwezekani tangu mwaka 1977 ilipozaliwa mpaka leo, bado maadui wa maendeleo wanaendelea tu kujinafasi! Ujinga, umasikini, maradhi, na sasa hiyo ccm imetuongezea adui mwingine - UFISADI!
 
Muunge mkono Kassim Majaliwa sasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom