Leo hii tarehe 2 Septemba, 2021 Shirika lisilo la Kiserikali World Vission limeazimisha miaka 40 ya utendaji kazi yake hapa Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu. Kwakweli naomba na mimi niungane na Watanzania wengine kuwapongeza World Vission Tazania kwa kazi nzuri waliyoifanya hapa kwetu ndani ya hiyo niaka 40
Nikiwa nawapongeza sana kwa hotuba zao nzuri; Mkurugenzi Mkuu wa World Vission pamoja na Ummy Mwalimu, ninamshangaa sana Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya World Vission Tanzania kwa hotuba yake iliyokosa weledi.
Hotuba ya Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ilikuwa na mapungufu mengi sana kiasi kwamba kwa level kama yake asingediriki kutoa hotuba kama hiyo kwenye mkutano wa high level kama huo;
hakuzigatia weledi ktk usomaji wa hiyo hotuba, alikuwa anasoma harakaharaka tu bila ya hata kuangalia wajumbe, alikuwa anasona kama anakimbizwa - public speaking kwake ni shida kubwa
Katika hotuba yake hajaweza kuainisha vizuri miradi iliyowaifanywa na World Vission hapa Tanzani ndani ya miaka 40 - hii ni weakness kubwa sana
Kwa miradi michache aliyoiainisha hajaonyesha gharama ya hiyo miradi, huku ni kukosa weledi
Hata kwenye hotuba yake imekosa mpangilio, hajaonyesha changamoto zao hata matizamio ya badae
Hii inaweza kuthibitisha kuwa malalamiko yaliyowaitolewa na wajumbe humu JF kwamba huyu mtu amekuwa akipata kazi kiujanjaujanja inawezekana ikawa kweli, maana nilivyomsikia akiisoma hiyo hotuba ni vichekesho!!
Mwisho, ningemshauli kuwa asipende sana kujitangaza kuwa amewaifanya kazi MSD kwasababu kule aliharibu vibaya sana na pia upataji wa hiyo nafasi ilikuwa ni ujanjaujanja tu.
Pia hata huko Bodi ya Korosho aliko sasa watu wanalalamika kuwa amepewa nafasi ya Ukurugenzi wa Fedha kazi ambayo hajausomea na hakuwai kuifanya, wameachwa watu wenye fani ya Fedha bila sababu yoyote