Zitto: Akiba ya fedha za kigeni yazidi kuporomoka , uwezo wetu wa kuagiza bidhaa wakati wa dharura wadidimia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,368
217,419
FB_IMG_1566282069023.jpg


Instagram media - B1XCQJChJfX.jpg



Ripoti ya BoT ipo HAPA
 
Kwamba mwenyekiti mpya wa SADC anaweza kuishauri hata S/Africa kwny mambo ya kiuchumi?hahah

Zitto.

Ni nani aliyekwambia tunahitaji bidhaa kwa dharura?

Mpango ni kujitegemea kwa kila kitu japo kwa 90% wewe kila siku unafikiria reserve.

Waelimishe wapiga kura wako nao wawe na reserve ya kutosha kukidhi mahitaji yao.

Hujaisikia hotuba ya mwenyekit mpya wa SADC?
 
Back
Top Bottom