Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,035
6,907
Habari wadau..

Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4.

Kwamba bwana Kadogosa hataki ushindani ufanyike badala yake anataka tender apewe Mturuki yaani kampuni ya Yapi Merkez bila kishindanishwa.

Sababu anazozitoa ni za kipuuzi na zinalengo la kumbeba huyo mkandarasi wake.

Kwa upande wa PPRA wao wanataka sheria ifuate mkondowake kwa kuweka ushindani Ili kupata thamani halisi ya fedha.

Wakaenda mbali zaidi kwa kutoa mfano kwamba kipande cha Isaka Mwanza baada ya ushindani mkandarasi aliyepatokana kampuni ya Kichina ili tender bei ya chini kuliko Yapi Merkez na tofauti ya bei baina yao ilikuwa ni zaidi ya Tilioni 1 na hivyo Serikali kuokoa pesa endapo wangepewa Yapi Merkez bila ushindani.

Sasa inashangaza bwana Kadogosa haoni hili ila anataka bei zake walizokubaliana na Yapi Merkez wapewe bila ushindani Ili apate chake.

Serikali fukizeni huyu mtu hawezi tena kuaminika na huenda anatupiga hata kwenye bei za Lots zilizotangulia.Hawa ndio Mwendazake alikuwa anawaita wazalendo wake,ni hatari sana hii.

Karibuni kwa mjadala. 👇

===========

Dar es Salaam. The multi-billion-dollar tender for lots 3 and 4 of Tanzania’s standard gauge railway (SGR) project has turned out to be a serious bone of contention for two key government entities.

While Tanzania Railways Corporation (TRC) wants Turkish firm Yapi Markezi to be picked for the job through single-source procurement, the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) is of the view that the contractor should be identified through competitive tendering if Tanzanians are to get value for their money.

The third and fourth lots of the SGR project involve designing and building a 533-kilometre rail line from Makutopora to Tabora, and Tabora to Isaka, respectively.

Reached for comment yesterday, PPRA acting director general Mary Swai said she was not ready to discuss the matter in the media.

“I’m not the government’s spokesperson...I’m not ready to discuss government issues in the media,” she told The Citizen.

According to documents independently obtained by The Citizen, TRC and PPRA have engaged in official communication on a number of occasions, with the former pressing for single-source procurement.

In its letter dated July 23, 2021, TRC explains what it sees as benefits of awarding the tender to Yapi Markezi.

But in its response – which was dated July 27, 2021 – PPRA states why competitive tendering should be given priority.

“The Authority would like to advise that, as per Section 64 (1) of the PPA, 2011 and Regulation 149 (1) of PPR 2013, competitive tendering should be given priority in the procurement of goods, works or services. On this footing and as per detailed advice provided in the matrix attached to this letter, the Authority advises TRC to consider using competitive tendering in obtaining the contractors for lots 3 and 4,” PPRA says in its letter.

The authority adds that a competitive tendering process will ensure that the government gets value for money in the project.

According to PPRA, it was through competitive tendering that the government was able to save $1.03 billion (about Sh2.37 trillion at current exchange rates) when it floated the tender for Lot 5 of the SGR.

The tender to build the SGR from Mwanza to Isaka was awarded to a joint venture of M/s China Civil Engineering Construction Corporation and China Railways Construction Corporation (CCECC-CRCC), which quoted $1.326 billion (inclusive of VAT), while Yapi Merkezi cited $2.356 billion (about Sh5.4 trillion).

“It was a huge difference of $1,030,068,831.21 and therefore, the Government could not have saved this amount if it could have opted for a single source method of procurement,” PPRA says in its letter.

In gunning for Yapi Merkezi, TRC director general Masanja Kadogosa, who is also the State-owned firm’s chief accounting officer, says in a letter that although the TRC tender board had advised that the contractor for Lots 3 and 4 be picked through competitive bidding, he had to seek a review because awarding the tender to Yapi Merkezi would have several benefits.

The Turkish firm, the letter says, was in a position to execute the job well because it was already undertaking similar work in the country, and that it had mobilised a plant, equipment and staff in Tanzania.

The letter adds that although M/s CCECC-CRCC also had a plant, equipment and staff in the country, Yapi Merkezi had already built 91.74 percent of Lot 1 of the SGR (from Dar es Salaam to Morogoro) as of June 2021, while the section being built by M/s CCECC-CRCC was only ten percent complete.

According to the communication, while it was true that contractors for Lots 1, 2 and 5 were picked through competitive tendering, Yapi Merkezi was better placed to swiftly move its plant, equipment and staff from Lot 1 to Lots 3 and 4, and thus complete the work for operations to start.

But according to PPRA, value for money should supersede the need to swiftly complete the work, noting that it was TRC’s task to ensure that gives the contractor appropriate time to mobilise plants, equipment and staff.

“On the issue of mobilisation time, which the Accounting (officer) had been insisting that M/s Yapi Merkezi will have short period of mobilization, the Authority advises that TRC should clearly provide in the tender document, the appropriate time required for mobilisation so that bidders who will participate in the competitive tendering can be assessed on that criterion as well,” PPRA says in its letter.

CITIZEN
 
Ni jambo jema sana PPRA wamesaidia serikali kuokoa mabilioni ya dola Ila Muhimu kuzingatia huyo mkandarasi mchina anaejenga kwa gharama nafuu ajenge kwa Ubora ule ule ulio Katika mkataba na kukitokea maharibifu yoyote kabla ya muda maalumu kuisha mkandarasi anapaswa kurekebisha kwa gharama zake mwenyewe

Pengine hao waturuki wanajenga kwa gharama kubwa Lakini viwango vinakuwa bora kuliko wachina

Kuna wakati wakandarasi wanatoa gharama za chini ili wapate tenda Lakini kazi inakuwa ya kiwango duni hata umaliziaji unakuwa shida
 
Habari wadau..

Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4.

Kwamba bwana Kadogosa hataki ushindani ufanyike badala yake anataka tender apewe Mturuki yaani kampuni ya Yapi Merkez bila kishindanishwa.

Sababu anazozitoa ni za kipuuzi na zinalengo la kumbeba huyo mkandarasi wake.

Kwa upande wa PPRA wao wanataka sheria ifuate mkondowake kwa kuweka ushindani Ili kupata thamani halisi ya fedha.

Wakaenda mbali zaidi kwa kutoa mfano kwamba kipande cha Isaka Mwanza baada ya ushindani mkandarasi aliyepatokana kampuni ya Kichina ili tender bei ya chini kuliko Yapi Merkez na tofauti ya bei baina yao ilikuwa ni zaidi ya Tilioni 1 na hivyo Serikali kuokoa pesa endapo wangepewa Yapi Merkez bila ushindani.

Sasa inashangaza bwana Kadogosa haoni hili ila anataka bei zake walizokubaliana na Yapi Merkez wapewe bila ushindani Ili apate chake.

Serikali fukizeni huyu mtu hawezi tena kuaminika na huenda anatupiga hata kwenye bei za Lots zilizotangulia.Hawa ndio Mwendazake alikuwa anawaita wazalendo wake,ni hatari sana hii.

Karibuni kwa mjadala.

Kuna sheria ya Single sourcing, unaweza mpa kazi kandarasi mmoja na sheria inakulinda.

Hao wachina wasipewe kitu, ni wezi na wana mafisadi nyuma yao wanataka kupiga trillions hapo. So Chinese companies zisipewe kabisa kitu. Yapi wako vizuri na gharama nafuu sana kwa viwango vya kimataifa.
 
Wachina wa enzi za Mao Tsetung hawapo.
Angalia barabara walijenga Kilwa road, hawa ni wapigaji mno. Ukute mvutano huo ni wengine kuona hawatapata kitu i.e 10% usifikiri hata hao RRRPPA wako kizalendo ni NO.
Wachina ni mabingwa wa kurobu na kutoa kitu.
Angalia quality utachekea chooni.
Mikataba ni siri mnooo, jambo hatarishi
 
Huyu nashangaa Samia anamuacha pale, mradi huu aliwekwa pale makusudi ili achukue mpunga ampelekee yule mwendazake, stiglers nayo tanesco haikukaguliwa mahesabu tangu mwendazake aingie Ikulu, ATCL.....list ndefu...anaitwa Masanja
 
Nadhani Kadogosa yupo more informed kwenye cost za hiyo miradi kushinda PPRA, halafu waturuki awajengi reli tu, bali wanawapa uwezo na ma engineer wa kitanzania.

Tazama main train station ya Dar, Mturuki nadhani ametumika kama consultant tu lakini civil engineers wote wabongo, similarly ata yard zao zimejaa supervisors wakitanzania, usambazaji wa umeme engineers watanzania, vituo vya train vinavutia; yaani unaona kabisa mradi una value for money on quality na kwenye kuwajengea uwezo wa Tanzania.

Sio wachina miradi yao wanajazana wao, Tazama Daraja la Busisi kila Kiongozi akienda kutembelea mradi; kwenye picha utaona wamejazana foreman’s na ma engineer wakichina tu, ata reli ya Mwaza-Isaka ni wachina tu.

Ebu angalia sasa reli ya waturuki viongozi wakienda wanakuta wabantu tu ndio wanaotoa ufafanuzi, na kwenye picha wamejaa wabantu mpaka raha. Kitu hiko hiko utakiona ukienda kwenye bwawa la Nyerere ma engineer wengi ni wazawa.

Sio miradi ya kichina ni wachina watupu wamejazana mpaka kichefuchefu wabaguzi kweli awatoi ujuzi kwa wazawa kabisa, wao wapo kwa sababu ya kukomba kila kitu wanachukuta na awataki kuacha ujuzi kwa wenyeji.

I am sick of these Chinese very selfish.

As it occurred to others asilimia kubwa ya watu wanaotetea matendo yenye minajili ya ufisadi ndio wamekuwa watetezi wakubwa wa mama kwenye ili jukwaa.
 
Nyie
Habari wadau..

Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4.

Kwamba bwana Kadogosa hataki ushindani ufanyike badala yake anataka tender apewe Mturuki yaani kampuni ya Yapi Merkez bila kishindanishwa.

Sababu anazozitoa ni za kipuuzi na zinalengo la kumbeba huyo mkandarasi wake.

Kwa upande wa PPRA wao wanataka sheria ifuate mkondowake kwa kuweka ushindani Ili kupata thamani halisi ya fedha.

Wakaenda mbali zaidi kwa kutoa mfano kwamba kipande cha Isaka Mwanza baada ya ushindani mkandarasi aliyepatokana kampuni ya Kichina ili tender bei ya chini kuliko Yapi Merkez na tofauti ya bei baina yao ilikuwa ni zaidi ya Tilioni 1 na hivyo Serikali kuokoa pesa endapo wangepewa Yapi Merkez bila ushindani.

Sasa inashangaza bwana Kadogosa haoni hili ila anataka bei zake walizokubaliana na Yapi Merkez wapewe bila ushindani Ili apate chake.

Serikali fukizeni huyu mtu hawezi tena kuaminika na huenda anatupiga hata kwenye bei za Lots zilizotangulia.Hawa ndio Mwendazake alikuwa anawaita wazalendo wake,ni hatari sana hii.

Karibuni kwa mjadala. 👇

View attachment 1951944

View attachment 1951945

View attachment 1951946

View attachment 1951947
Ninyi ni wale wapuuzinaotaka kula cha juu kisha mradi uwe na ghalama kubwa.
Kama mnataka kushundana basi mjenge kwa kiwango cha chini ya hao yapi markenz na reli iwe na uborawa juu kama wa awali hapo tutawaelewa.
 
Huyu nashangaa Samia anamuacha pale, mradi huu aliwekwa pale makusudi ili achukue mpunga ampelekee yule mwendazake, stiglers nayo tanesco haikukaguliwa mahesabu tangu mwendazake aingie ikulu, ATCL.....list ndefu...anaitwa Masanja
Majizi, kwa ubora wenu mnataka mrudi. Kwa kasi ya 5g

Mmepewa kuleta mafuta asilimia ishiri tu mkapandisha bei hadi huyo Rais akastuka akashusha bei bado mnataka mumuingize Rais kwenye mgogoro na wananchi?
Kaeni pembeni na uroho wenu.

Acheni nchi. Ijengwe kwanza.
 
Back
Top Bottom